It at ucc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

It at ucc

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mabina, Aug 9, 2011.

 1. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jamani kama knaabiria aliyepanda gari la UCC Dar es Salaam branch alipakulie full detail za pale nikmanisha ufndshaji wao, materials, practices na performance yao na after xul vip ukienda field unakuwa fit.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Una haraka gani? Hata kama ni via mobile, type maneno yaliyokamilka basi!
   
 3. Researcher

  Researcher Senior Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nnavyowafahamu ni wazuri, pengine kuliko vyuo vingi vya wahindi mjini..Ila juhudi binafsi za mwanafunzi ni swala la msingi sana katika elimu sehemu yoyote.
   
 4. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wahindi wako juu kuliko hao UCC ufundishaji wake sidhani kama utafananisha na chuo chochote cha wahindi town
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  mkuu kufananisha Indiaan IT na ya hapo UCC ni sawa na kufananisha usingizi na kifo.... dunia nzima inajua kwamba India ni noma.. vyuo vyao vimejaa wataalum na vifaa kutoka India....baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa tatu katika vyuo vya Wahindi hupata fursa ya kwenda India kwa practical zaidi... hapo UCC hata vifaa vipo? na kama vipo ni vya mifano... Theory nyiiingi wakati watu wanataka Practical..
   
Loading...