Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habari zenu wakuu Natafuta hiyo routor ya Alcatel Linkhub HH41 inatumia sim card kama kuna mdau Anajua duka linalouza anijuze nimetafuta sana kariakoo na posta hakuna mi nipo Dar-es-salaam
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Naomba kuuliza, kwa aatumiaji wa simu. Hivi kuna watumiaji wa simu wanapata raha ya display zaidi ya sisi tunaotumia infinity display ya samsung? Jamani tunaotumia hizi infinity display ya...
9 Reactions
199 Replies
27K Views
Nahitaji mwalimu mwenye ujuzi wa kufundisha moja ya software platform for professional product design and manufacturing. Base: dar es salam Module of Institution: startup Kwa aliye na sifa dm plz
1 Reactions
0 Replies
497 Views
Jamani naombeni ushauri nina biashara ya juisi nataka kununua fridge, nishaurini fridge gani linaweza kua zuri na lisilokula umeme sana la dukani au mtumba, ya mtumba bei yake ni affordable...
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Nambie YouTube ilikusaidia Nini na ukalitatua tatizo lako kupitia YouTube? Chuo walikuwa wananiita Mr IT sababu nilikuwa vizuri Sana kwenye kuchezea cm,pc nk maujanja yote niliyapata YouTube na...
22 Reactions
63 Replies
4K Views
Salaam wana jamii tech, Naombeni ushauri ni laptop gani Brandnew naweza pata kwa bei isiyozidi 950k ambayo ina vigezo hivi RAM 4GB PROCESSOR COi 3 walau kuanzia generation ya 6 HDD kuanzia...
3 Reactions
130 Replies
15K Views
Mimi napenda magemu ya story hasa ya kivita Ila kila mtu anataja Aya pugb.call of dirty.modern combat nimeshindwa nicheze lipi Sasa nzur Zaid ya yote naomba mpendekeze moja tu ambalo mnahc n...
1 Reactions
5 Replies
717 Views
Wakuu, salam kwenu Jamani, kuna shida imeipata decoder yangu ya DSTV. Tatizo hili limeanza J4 pale nilipoiwasha asubuhi nikashangaa sisikii sauti licha ya sauti kuwa fullbars kwa pande zote; tv...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau hili jambo linaniuma sana. Jana nilinunua Galaxy S2 at&t used kutoka kwa rafiki yangu alitoka nayo nairobi. Nikaona nifanye factory reset kabla ya kuitumia. Ila njia ya kawaida iligoma...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mashine ni hio hio moja inayotoa copy na kuprint lakini gharama ya kuprint ni kubwa kuliko gharama ya kutoa copy. Unakuta sehemu nyingi hasa vyuoni gharama ya kutoa kopi ni 30 hadi 50...
3 Reactions
29 Replies
11K Views
Wakuu habarini? Nataka ninunue flat TV kwa ajili ya matumizi ya office, nimepita huku na kule nikavutiwa na kampuni hizi mbili za TV, naomba ushauri wenu, Ni kampuni gani Ni Bora , ipi imara na...
3 Reactions
83 Replies
16K Views
Habari wakuu, Poleni na majukumu. Nimeangusha laptop yangu ya Dell Inspiron 5481 , x64 based pc na kioo kimepasuka. Nimejaribu consultation na fundi ananiambia kioo tu ni 350k hapo bado payment...
0 Reactions
6 Replies
781 Views
Kwa mujibu wapendekezo yaliyopitishwa na Bunge la #Congress, adhabu hiyo itaanza utekelezaji endapo Mtandao huo utafungiwa kuendesha huduma zake Nchini Marekani Pia, Wabunge wa #Democratic na...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wadau wa j4, naomba kuuliza jambo kuuzu hii kitu inayoitwa bluetooth. InFahamika kwamba computer kama haina bluetooth unaweza kununua usb bluetoth na ukachomeka na ukatumia bila shaka kila...
2 Reactions
7 Replies
579 Views
Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Mfano labda nahitaji calcium carbonate, silicone ,Polyol Nk ni sehemu gani naweza kupata vitu kama hivyo labda TDI please Nisaidieni wana jamvi.
0 Reactions
11 Replies
899 Views
Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Aprili 3, 1973 Mhandisi wa Kampuni ya Motorola, Martin Cooper au kwa wengine "Baba wa Simu za Mkononi" alifanya Maongezi ya kwanza ya simu. Simu hiyo ilitengenezwa kati ya Mwaka 1972 -1973 na Timu...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
550k
1 Reactions
25 Replies
1K Views
kuna madhara yoyote ya kutumia single core ambayo siyo PURE COPER
0 Reactions
1 Replies
407 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…