Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mwenye kujua app ya kubadili sauti wakati unapiga simu mfano kama no mwanaume uweze kibadilisha sauti isike kama ya kike au kama MTU amekariri sauti yako ashindwe kuitambua.
0 Reactions
29 Replies
14K Views
𝗝𝗶𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮 𝗮𝗰𝘁𝗶𝘃𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻 𝘆𝗮 𝗼𝗳𝗳𝗶𝗰𝗲 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗸𝗼𝗺𝗽𝘆𝘂𝘁𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗼 Je umekua ukisumbuka kufanya office activation kwenye kompyuta yako ? Baada ya kufanya installation ya office kwenye kompyuta umekutana...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wakuu! Mwenye stock firmware ya Tecno W3 build number W3-H806A1-M-160721V30 inayofanya kazi naomba. Nimejaribu kupakua mtandaoni hazifanyi kazi Shukrani
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari developer, mimi sipo vizuri sana kwenye coding lakini nashukuru angalau napata uelewa mpana kila siku Sasa nataka nianze kutumia visual studio ide, balaa ni hizo component baadh...
0 Reactions
4 Replies
942 Views
Kuna Mambo mengi yamejificha ya Siri kuhusu simu zetu tunazozitumia lakini atuzifahamu hivyo tunazichukulia poa sana simu bila kujua. Hivi umeshawahi kujiuliza ukifuta vitu kwenye WhatsApp...
5 Reactions
12 Replies
12K Views
Habari! Kupitia thread mbalimbali ambazo wadau walianzisha kuhusu gaming niliamua kununua Playstation 3 used ili nami niweze kufurahia baadhi ya games mpya. Mara ya kwanza ilikuwa poa tu...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Airtel Customer Care WhatsApp Number Vodacom Customer Care WhatsApp Number Tigo Customer Care WhatsApp Number:0675-100-100 Halotel Customer Care WhatsApp Number: 0620100100
1 Reactions
0 Replies
20K Views
Habarini wakuu, Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. PC yangu aina ya Hp intel i5 vpro ina shida hasa pindi unapoiwasha inaandika activated window setting sijui inashida gani. Msaada...
0 Reactions
4 Replies
852 Views
Jamani naomba kuuliza ubora wa hizi TV za goodvision made in China ukilinganisha na goodvision made in Korea DeepPond leta majibu
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mission za mwisho kwenye gta v zinatokana na maamuzi yako utakayoamua kufanya kwa watu utaoamua kuwaua. Ukichagua kumuua Trevor Philips, mission inaitwa something sensible Ukichagua kumuua...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Mamlaka za Uhispania wiki hii zilitangaza kukamatwa kwa watu 40 kwa kujihusisha kwao katika genge la uhalifu lililofanya ulaghai wa benki, kughushi nyaraka, wizi wa utambulisho na utakatishaji...
0 Reactions
2 Replies
662 Views
Hi wadau naombeni solution WhatsApp yangu imefungwa
0 Reactions
3 Replies
951 Views
Taarifa iliyotolewa Wiki hii kutoka kwa Mmiliki wa Twitter, Bilionea #ElonMusk, mtandao huo utaanza kuzifuta akaunti zote za watumiaji ambao hawajaingia kwa zaidi ya siku 30. Awali, Sera ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu kuna kamchezo naona kakifanywa na baadhi ya watu kuunga kifurush cha vodacom cha ofa ya watumia vodaphone. Kwa kawaida huwa walionunua voda phone kuungiwa kifurush hcho kwa kutumia IMEI ya...
2 Reactions
66 Replies
19K Views
Dkt. Geoffrey Hinton Dkt. Geoffrey Hinton moja kati ya waanzilishi wa mfumo ambao umefanikisha kuunda Akili Bandia kuanzia mwaka 2012 akishirikiana na wanafunzi wake wa chuo cha Toronto ni...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari yenu wana jamii, naomba kupewa ushauri, nina bajeti ya 500k je ni TV gani nzuri ya brand ipi na ukubwa upi itanifaa kwa bajeti hii? Kwani siku hizi brand zimekuwa nyingi sana
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Najua kukaa kimya ndio ujinga au ushamba mi nahitaji kujua ndio maana nimefunguka. NAWASILISHA.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Elon Musk amemteua Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Twitter, ikiwa ni zaidi ya miezi sita baada ya kuinunua kampuni hiyo ya mitandao ya kijamii. Bilionea huyo amesema Linda Yaccarino, mkuu wa zamani...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu hbr za majukumu. Naomba ufafanuzi namna ya kudownload vitabu mtandaoni.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakubwa Habari zenu! Samahani sana naomba kufahamishwa kama kuna namna yeyote ya kuweza kuaccess vitabu online maana napata sana shida vitabu vingi vinafunguka but wamevizuia kudownload...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom