Samsung laptop yangu haipelki chaji

Samsung laptop yangu haipelki chaji

Joined
Sep 12, 2020
Posts
45
Reaction score
30
Jaman wadau nina laptop yangu juzi kati imesumbua haingizi chaji kabisa japo ile japo charger ni nzima kbs
 
Kama ukitoa battery Bado inawaka basi Mimi lilishanitokea tatizo kama Hilo nikaambiwa ni connector imekufa. Jamaa aliitengenza.. Tatizo litakuwa ni kuipata spare part ya hicho kilichokufa
 
Kama ukitoa battery Bado inawaka basi Mimi lilishanitokea tatizo kama Hilo nikaambiwa ni connector imekufa. Jamaa aliitengenza.. Tatizo litakuwa ni kuipata spare part ya hicho kilichokufa
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Kuna laptop ya samsung kumbe [emoji848]
Mfano
Screenshot_20230518-065445.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom