Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wana Jamvi, naombeni ushauri juu ya hizi fridge zilizopo madukani, ni aina gani ya fridge ni nzuri na inayodum mda mrefu, na ni kitu gani cha kuzingatia wakati wa kununua hizi fridge...
1 Reactions
45 Replies
26K Views
Habarini Naomba mwenye link ya App inaitwa dexcon tun 8 nimeitafuta sijaipata bila mafanikio.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habar wadau hope kila mtu leo upo home wiki iliopita nilianzisha mada ya fiber internet na kila kitu kikawa sawa kila mtu anajua kuwa unternet ni muhimu katika kusaka saka huku na kule niligundua...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari Wana Jf,kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.Mfano nataka kufungua ofisi/cafe,niweze kutoa na huduma ya wifi pia.Kwa uzoefu wako,ni ISP gan ungependekeza kuomba huduma husika? Mfano...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
https://fast.com/ Yangu hio
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Ni kwa toleo lile lilioandika nyuma Docomo kutoka Japan - SO-O1K. niliwahi kununua simu hii yani kamera ni kali, ram si 4gb, battery inachaji fasta na inakaa, simu ngumu, n.k ila kwenye network...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Jinsi ya kutumia tovuti ya #midjourney kutengeneza picha za hatari: 1. Jisajili kwenye Discord.com. Hakikisha una verify email yako. 2. Ingia midjourney.com alafu utengeneze account yako kwenye...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
App inaitwa dynamic spot hii inawafaa wale wanaopenda kulemba mionekano ya simu zao
0 Reactions
1 Replies
533 Views
Wakuu kwema? Nilikuwa naomba ushauri wa duka au sehemu gani naweza nunua desktop computer yenye uwezo mzuri wakufanyia kazi zangu za productions (video editing na graphic design). Nina bajeti ya...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari wakuu humu JF kuna wajuzi wa mambo mengi, naomba kuelekezwa jinsi ya kulifungua game hili la PPSSPP Nimeshindwa kufungua na kuanza kulicheza. Picha ya kwanza baada kufungua App inafunguka...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Hello bosses, Niko hapa na-code huku naangalia Azamtv, kiukweli wana graphics kali sana. Sasa nikawa najiuliza hivi hio speed ya transmission inachezea kwenye mb/s ngapi kwa sababu nikisema...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana jf habari za muda huu Tumeni project za kiuhasibu kama template za kuandaa bank reconciliation, cash book, payment voucher, etc yaani yoyote tuone Kali ni ipi?
0 Reactions
3 Replies
714 Views
Wakuu ninahitaji kioo cha simu Redmi 8. Kama unacho tuwasiliane.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau!! TV yangu aina ZUNNE inch 32 nikiiwasha inawaka mara moja tena sekunde halafu inazima na haioneshi picha kabisa tatizo limeanza leo majira ya saa 5 asubuhi Tatizo linaweza kuwa ni...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Project Kuiper ya Amazon ambayo itatoa huduma ya mtandao kwa kupitia satelite inatarajiwa kuanza kazi 2024. Huduma hiyo itakuwa na spidi zifuatazo. Standard 400Mbps Ultra-compact (Dish ndogo) 100...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari zenu wana-technologia!, Nahitaji kuIntergrate Mobile Application yangu na Mfumo wa malipo, ikiwa namaanisha mteja aweze kulipia kwa mfumo wa USSD. Naomba msaada nifanye nini? Natumia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello bosses. Wale wapenzi wa mchezo wa karata aina ya Arubastini nmewatengenezea hili game. Kwa upande wa LASTCARD nalo nitaliweka playstore hivi karibuni. Download kutoka playstore (search...
8 Reactions
25 Replies
6K Views
Wazee habari za kutwaa...... Naomba nisaidiwe shida tajwa hapo juu. Natanguliza shukrani. Ahsante.
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimeona watu wengi wanatumia PC ambayo inahitaji window activation, sasa nikaona niwafahamishe namna ya kufanya activation. Ili kuactivate window 10, fuata hizi steps 1. Nenda kwenye search then...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama unataka kumiliki simu nzuri na yenye uwezo mkubwa basi jambo la kwanza la kuangalia ni processor kwenye ulimwengu wa simu hufahamika kama SoC (System on Chip). SoC (system on chip) ni...
16 Reactions
22 Replies
8K Views
Back
Top Bottom