๐—ฉ๐—ถ๐˜๐˜‚ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜„๐—ฎ ๐—ท๐—ฒ๐—น๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ถ

๐—ฉ๐—ถ๐˜๐˜‚ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜„๐—ฎ ๐—ท๐—ฒ๐—น๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ถ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,366
Reaction score
2,796
๐—ฉ๐—ถ๐˜๐˜‚ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜„๐—ฎ ๐—ท๐—ฒ๐—น๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ถ

Umeshawahi kutembea Dubai ? Dubai ni moja wapo ya jiji la kibiashahara ulimwenguni yenye ushawishi mkubwa sana kwa watu kuja toka Mataifa tofauti tofauti ulimwenguni.

Kuna makosa jihadhari sana kufanya ukiwa Dubai utapelekea kulipa faini kubwa au kufungwa kabisa ukipatikana na makosa yafuatayo.

Hivi majuzi mamlaka zilifanikiwa kufunga akaunti Zaidi ya 200 za mitandao ya kijamii kwa kutangaza kuuza dawa za kulevya, silaha, picha , bidhaa mbalimbali nk.

Ukiwa Dubai jihadhari sana na Aya mambo matano [emoji116]

[emoji2389] kutuma picha za watu social media
Ukiwa Dubai jihadhari sana kupiga piga picha ovyo maana unaweza kwenda jela kwa kumpiga mtu picha bila yete kujua au umetuma kwenye mitandao ya kijamii ukikamatwa faini dirham 150,000

[emoji2390] kushare taarifa za mtu mtandaoni
Kama unatabia ya kushare taarifa za watu mitandaoni basi jihadhari maana Dubai unaweza pelekwa jela au ukalipishwa faini dirham 1,500,000 kwa kusambaza taarifa nyeti za kampuni au mtu Fulani.

[emoji2391] ikiwa umetuma post mbaya au za kuchukiza
Ikitokea umeamua kumchafua mtu mtandao kwa kutuma post kuhusu mtu Fulani juu ya tabia zake mbaya au matendo machafu au kitu chochote cha kuchukiza toka kwa mtu, kampuni au muajiliwa wako basi unaweza pigwa faini ya dirham 250,000/=.

[emoji2392] huruhusiwi kutumia program ya Whatsapp
Upaswi kutumia program kama vile Whatsapp au Skype kupiga simu zimezuiliwa unaweza lipishwa dirham 250,000 ni lazima utumie program ambayo ni salama kama vile botim badala ya Whatsapp, Skype nk.

Wanaamini program izo sio salama kwao.

[emoji2393] upaswi kupost kitu kinacho chafua dini
Jihadhari sana ukiwa nchi za watu kupost vitu vinavyo kashfu dini za watu unaweza jikuta jela au kupigwa faini bila kutarajia pia post zote kuhusu picha za ngono , uchi au ulevi faini yake inaweza mpaka kufikia dirham 500,000.

Pamoja na makosa mingine ya kimtandao kama vile kuchochea chuki , ubaguzi wa Rangi au ghasia , kuvunja sheria Za nchi za kifalme za kiarabu au kiongozi pamoja na kufanya michango bila leseni.

Jihadhari sana ukiwa unatembelea nchi za watu kuwa makini vipi ulikua unajua hii au ndo tunakujuza?

#bongotech255View attachment 2630094
Dubai.jpg
 
Wana host watu dunia nzima acha waweke sheria zao kujilinda
Makes sense, lkn mbona USA, New York for that matter among other major cities of the world hawako hivi/hawana sheria ngumu hivyo?
 
Makes sense, lkn mbona USA, New York for that matter among other major cities of the world hawako hivi/hawana sheria ngumu hivyo?
Kwahiyo Dubai wasubiri kwanza mpaka hiyo miji uliyoitaja iweke hizo sheria ndio na wao waje kuziweka?
 
Kuna watu wajinga sana,watu wamejipangia taratibu zao za maisha kwenye nchi yao anatokea mtu anaponda! Wao hawajaita mtu kwao sasa kama unachukizwa si baki tu huko kwenu kwa mtogole shida ipo wapi.
Tanzania kuna mazuzu wengi sana!
 
Makes sense, lkn mbona USA, New York for that matter among other major cities of the world hawako hivi/hawana sheria ngumu hivyo?
Usa pia wapo hivyo ila hawaban vya kwao.
1. Tiktok ipo Banned kwa Nchi zote za Magharibi kwa Matumizi ya Serikali
2. Tiktok ipo banned baadhi ya maeneo kwa watu wote mfano jimbo la Montana
3. Wakati wa trump pia waliban Wechat pay, Alipay, Camscanner, shareit, wps office na App kibao za china kwa kisingizio cha usalama.

Kila Nchi inaangalia maslahi yake, wanapiga pin kampuni za Kimataifa na kupromote local companies.
 
Back
Top Bottom