Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

External Hard Disk yangu ilidondoka kutoka usawa wa kitanda mpaka sakafuni, na sasa haifunguki na wala haisomi kwenye computer yoyote ile. Rafiki yangu kanipa mwanga tu kuwa huenda motor yake...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
what is life? How is it formed? How can it be produced from non living materials?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hellow Jf!! Kuna njia nying za ku HACK facebook accounts zipo hapa How to hack facebook password | Learn How To Hack - Ethical Hacking and security tips Nimefanya nimefanikiwa, Victim wa kwanza...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Wazee jana nilikua naangalia movie ya jean c. Vandamme akiwa kaka yake alex.kuna scene moja vandamme yupo ndani ya meli anachochea mkaa wa moto katika injini ya meli.mie pia nikakumbuka kwamba...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau naomba msaada wa khs camera ya laptop aina ya Dell 630 naona data zake tu ila sehemu ya kufungua niitumie hii camera siipati!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maybe you are facing random computer freezes and reboots! In such cases we have to first find out if it's a hardware specific problem or a software specific problem. Because system instability can...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau msaada. Nimeconnect modem ya airtel imekubali vizuri but nikifungua browser kama mozila,IE zote hazitaki kuconnect na nimeshajaribu ku uninstall software ya modem then nikainstall upya but...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naombeeni msaada jinsi ya kuistall flash player kwenye nokia
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Ukiondoa zile sifa ambazo laptop inatakiwa kuwa nazo, ni aina ipi iliyobora kati ya hp, acer na dell?
0 Reactions
20 Replies
9K Views
I once informed you on the tiGO free internet modems. well,as of now,...someone tried to be faithful to them (tiGO) and closed port 628 on the server. That being the case,the tiGO free chips are...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau za kazi? kuna namba hii ya tigo 0657101228 inanisumbua sana na nimejaribu nmna ya kumjua ila nimeshindwa na pia nadhani huyu jamaa ananifaham vizuri na yupo karibu na mimi ila nimechemsha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani vp kuhusu ufanisi wa hii bidhaa mpya ya vodafone webox? yaani speed yake? na kama inachakachulika ili tuweze kutumia ktk mitandao mingine. naomba kujuzwa tafadhali.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kwa anayejua. Je ni kweli NBC debit mastercard inaweza kutumiwa kununua vitu online, hususan apps za iphone?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
jamani wadau, mi napenda kujifunza IT, ninafanya kazi hapa mtwara mjini, kama kuna mdau anaweza nishauri nifanyeje ili niweze jifunza hii fani, yaani kama kuna chuo chenye kutoa mafunzo ktk muda...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Salam naomba msaada kwa anayejua bei ya Norton antivirus 2012 Kingston flashdisc USB hard disc Barcode reader
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau hv tigo customer care ni namba zipi kwasab 100 inagoma?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu nimenunua tv capture card na nimeifanyia installation kwenye computer yangu...kiujumla inafanya kazi nikiweka antena tv inaonyesha vizuri tu..tatizo nimeconnect decoda ya startimes kwa...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Waungwana nataka ku-istall kaspersky 2011, ila nkwama pale inaponiambia niondoe eset on access scanner..niliwahi kutumia eset long time ago...Nimejaribu kusearch kila kona sioni traces za eset...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nahitaji laptop wakuu, kabla ya kuangalia specifications nyingine nataka kujua kati ya hp, acer na deli ipi ni bora?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu habari My boss wants to set the automated email reminder for one year in MS Outlook 2007 to be sent to all staff every month as far as i know Microsoft settings in MS outlook allow only...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Back
Top Bottom