Msaada:Setup was unable to format the HDD.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:Setup was unable to format the HDD..

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Lonestriker, Nov 25, 2011.

 1. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanatech na geeks naomba msaada kwa hili.Nililetewa Maxtor 8OGB hard disk niicheck kama kweli ni 80GB na kuifanyia new windows Xp installation.Aliyeniletea HDD alikuwa ameuziwa na jamaa aliyemwambia kuwa ni 80GB hard disk which is true baada ya mimi ku-confirm kwa both Windows and Ubuntu.Shida ni kuwa only 4OGB ndiyo ilikubali partition na kuwekewa Windows kwa hiyo jamaa akahisi amebadilishwa Hard disk ndio akaamua kuniletea niicheck,nilii-mount na ikasoma 80GB lakini ikagoma kubeba windows baada ya kuiwekea new partitions za 35GB by 40GB.Ajabu set up ilifail then ikaniletea meseji hii'Setup was unable to format the HDD...check the SCSI device settings...' .By the way hard disk ni IDE.Nimejaribu hata kuinstall ubuntu bila success..Ushauri wenu wanajamvi ndio my refuge kwa sasa.
   
 2. Isaac Chikoma

  Isaac Chikoma JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hiyo hard disk inawezekana ikawa right protected, so, tafuta namna ya kubadili , au kuunlock settings
   
 3. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280

  Mkuu kama unasema drive Controller niya IDE, inawezaje kuzungumzia mambo ya SCSI device settings TENA, mimi nafikili cha kufanya ni kuangalia firmware za BIOS yako zimeandikwa/programmed na kampuni gani, jaribu ku-update firmware za BIOS, alafu uone kama tataizo hilo litajitokeza tena-goodluck.
   
 4. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kuwa mwangalifu sana wakati unafanya BIOS update, fata instructions and precaution zote. Na hiyo iwe last resort, nadhani focus yako kwa sasa iwe kwenye HDD yenye matatizo, huo ndio ugongwa, ugonjwa sio BIOS kwa sababu hujasema hiyo PC haifanyi kazi na HDD nyingine yeyote.

  Umesema hiyo HDD uliweza kui partition. Ulitumia nini kui partition? Hebu futa kabisa hayo ma partion ( DBAN software ) halafu iache Windows installer yenyewe ifanye hizo formatting and partitioning. Jaribu pia XP CD nyingine, huwezi jua.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Acha uongo wako wewe.
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nyani ukweli ni upi?
   
 7. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu sijuhi unataka kutueleza nini! Why unasema iwe last resort - unaweza kutueleza hapa kwa nini BIOS yake inazungumzia controllers mbili yaani IDE na SCSI at the same time, is this normal? Je unajuwa hiyo BIOS kwenye motherboard yake iliandikwa/programmed mwaka gani?
   
Loading...