Hackers wamevamia mtandao wa facebook. Soma habari hii kwa makini ili ujikinge nao

jozzb

Member
Jun 30, 2011
87
20
Je ni kweli Lady Gaga amekutwa akiwa amefariki ndani ya hotel? Hiki ni kirusi (VIRUS) ambacho kimesambaa sana katika mtandao wa facebook na bado kinazidi kuenea kwa kasi.Kirusi hiki kinasambazwa na HACKERS ambao huweka PORNOGRAPHIC PICTURES katika wall yako ya facebook,HUCHAT NA RAFIKI ZAKO WAKIJIFANYA NI WEWE.

Huu ni mfano wa huo ujumbe ambao hackers wanautumia facebook ukiwa na link inayokupeleka katika kituo cha utangazaji cha BBC .



FUATILIA HABARI HII KWA UMAKINI KWA KUBOFYA HAPA <<FACEBOOK HACKERS>>
 
Back
Top Bottom