Msaada:Setup was unable to format the HDD.

Lonestriker

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
640
241
Wanatech na geeks naomba msaada kwa hili. Nililetewa Maxtor 8OGB ide Hard disk niihakikishe kama kweli ni 80GB maa aliyeuziwa alipofanya installation alipata partition ya 40GB tu!Nii-mount kwenye both windows na Ubuntu na zote ziliisoma kama 80GB hard disk.Shida ilikuja kwenye windows installation,inakubali partition lakini windows installation inafail,inaleta meseji hii ' setup was unable to format the HDD...check your SCSI device settings..'Jumpers ziko sawa,nimejaribu ku-install ubuntu nayo imefail.Ushauri wenu wandugu...
 
hiyo HDD kimeo(dalili za kufa)...hata ikitokea imekubali kuweka window sikushauri uitumie maana ipo siku utalia...!!
 
hiyo HDD kimeo(dalili za kufa)...hata ikitokea imekubali kuweka window sikushauri uitumie maana ipo siku utalia...!!

kimeo kivp?Hilo ndilo nalojiuliza ndio maana nikaleta jamvini issue hii.Nimejaribu ku-google,wanasema hii hutokea.
 
Inaelekea hiyo HD ilikuwa na partition mbili za 40.
Iconnect kama slave kwenye PC yako na utumie partition software kufuta kabisa partitio zote ziliomo na kuiformart.
Ikishindikama create zeros kwa kutumia software ya Maxator. Inawezekana pia kuwa HD imekwenda na maji.
 
kimeo kivp?Hilo ndilo nalojiuliza ndio maana nikaleta jamvini issue hii.Nimejaribu ku-google,wanasema hii hutokea.
mkuu namaanisha hizo ni dalili za kufa, kimsingi vifaa vya namna hii(kama HDD) hizi ndo ishara zake..ni kweli zipo njia unaweza ukatumia ili kuifanya ikafanya kazi(kama hiyo ya kutumia software kuformat kwa ku fill with zeros or ones) ila itakuwa ni kwa muda tu na ipo siku bila taarifa yoyote utashangaa pc inakwambia cannot find the disk na hapo ndo mwisho wake sasa kuepuka hayo yote ni bora kujiandaa kwa kutafuta nyingine yenye uhakika maana hiyo HDD labda uitumie kwa mambo ambayo hata vikipotea hutaumia sana. ila kama ndo unataka iwe ya kutunzia vitu vyako vya muhimu mi sikushauri kabisa...mi nilishawahi kuwa na HHD ya SATA (120GB) na ilianza hivyo hivyo..can not formatt HDD mapaka nitengeneze partition nyingine, mara unakuta hiyo prtition uliyotengeneza siku imejifuta...siku moja nawasha pc nakuta haiwaki inasema cannot find Disk 0, nikajaribu njia zoooote mpaka kuweka kwenye external cover, kuweka kwenye pc nyingine na njia chungu mzima lakini waapi na daata zangu zooote ndo ikawa Kushney!!So, i know what am telling you...but its your choice...!!Ila kwa ushauri tu hivi vitu vya kutunza data (flash, hdd, au cd) ukiona inaanza kukuletea error za kijingajinga anza kutoa vitu vyako humo mapemaaaa la sivyo utalia...havina guarantee mkuu..njia zinazowekwa online za ku repair hizi ni watu ku make money tu mkuu..
 
Inaelekea hiyo HD ilikuwa na partition mbili za 40.
Iconnect kama slave kwenye PC yako na utumie partition software kufuta kabisa partitio zote ziliomo na kuiformart.
Ikishindikama create zeros kwa kutumia software ya Maxator. Inawezekana pia kuwa HD imekwenda na maji.

Nimeona online kitu kama hicho,kwamba nijaribu Maxtor blastor plus ii (Hard disk ni ya Maxtor)kutoka kwenye website ya Maxtor.Najaribu kuidownload nione kama itasaidia.
 
Back
Top Bottom