Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

WanaJF ninalaptop HP 510 ilikuwa na window7 ultimate na sauti ilikuwa poa na ya juu nikaiformat nikaweka tena window7 ultimate but sauti imekuwa chini mpaka usogeze sikio...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
The UK's Chief Rabbi Jonathan Sacks has claimed the late Apple boss Jonathan Jobs and his company's 'i' products are responsible for creating a selfish consumer culture that is spreading...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
huawei e8150 ina cost sh ngapi hapa Tz ambayo ni unlocked na tofauti yake na vodafone 858 smartphone ni ipi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba kidogo mnisaidie kitaaluma kunikumbusha kwamba ni namba gani nikizibonyeza kwenye simu naweza kupata simu na ujumbe uliotumwa kwenye simu husika kwa kipindi flani?naomba msaada wenu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu nimegundua hichi kitu: Ukipiga simu kutoka airtel kwenda airtel ni expensive sana tofauti na ukipiga airtel kwenda tigo. I know it sounds crazy lakini jaribu utaona. I can't recall the...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa nawasalimi Amani ya Mungu iwe juu yenu. Naomben mnisaidie kama kuna anayejua juu ya hili, computer yangu sijui kwa nin imekua slow sana.Natumia browser ya fire fox. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kuirejesha huduma ya internate kwenye mobile phone yangu aina ya SAMSUNG C3010S ambayo ilitoweka ghafla takriban kama siku 4 zilizopita, me nimejaribu kufanya hivyo bila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau hiki kimeo changu nikikiwasha, kinachukua mpaka dakika 5 kuanza kuoperate. Tatizo linaweza kuwa nini na nifanyeje ili irud ktk hali ya kawaida.?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau msaada wenu!natumia nokia 5130c express music na browser yangu ni operamini.!nikifungua facebook inaonesha version tofauti na simu nyngne,hata ile rangi ya blue&light blue haipo!ni kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba nisaidie mwenzenu procedures za kuandaa table of content na kuchora chart like histogram na pie chart
0 Reactions
3 Replies
927 Views
Nimenunua Nokia N95,Lakini kila nikijaribu kuingia kwenye internet haikubali?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nani anautundu wa hii simu??can I use internet without suscribing with BBm services?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf. Naomba msaada, laptop yangu tangu juzi imegoma kufungua windows task manager. Kila nikiclick ctrl+alt+delete naambiwa "windows task manager has been disabled by your...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nikiwa na-brouse webpage km Jf ina pop-up dialog box inayo describe error ambapo inani promp ku send report or do no send report at the same time hiyo webpage inafunga, hili ni tatizo gani? ina...
0 Reactions
2 Replies
925 Views
anaye jua software yakujifunzia english, tupia hapa faster plz, either sertup/link yakuipata/jana lake kamili. asanteni!!!!!!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye kitabu hichi jamani msaada naomba anipatie hata kama ni electronic book kinahusu maisha ni jinsi gani wa2 matajiri walivyofanikiwa kimaisha katika njia halali mfano aliyegundua magari aina...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Mambo wana Jf,mwenyekufahamu Satellate frequency mpya za ITV mkoa wa Mara anijuze.thnx
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Teknolojia ni nini? Kidunia kwa sasa ni Technlogy gani ni muhimili wa maisha ya kila siku ya watu Ni teknolojia gani unyodhani kwa sasa nimuhimu na unaitumia kila siku kwa maisha ya...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Laptop yangu inagoma kuwaka, niki switch on, inawaka taa kwenye screen tu ila haindelei. Naombeni msaada tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
wadau wa sekta hii naombeni msaada wa kuunganisha sm yangu aina ya bird w5000 kwenye internet. wakati nainunua nimeikuta ikiwa na opera mini lkn kila napojaribu kufungua kwa kutumia ile wap symbol...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom