Gmail app for samsung GT-C6112

Gmail app for samsung GT-C6112

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,827
Reaction score
1,314
Cousins,

Nisaidie app hiyo niweze kuenjoy gmail kwenye hii simu bana; kwa sasa natumia lakini nazunguka kweli.............nimejaribu kuchecki na site yao sikupata msaada ;

Any clue and how to install it on my phone...........or can it work?
 
Hiyo Samsung ni android phone au inatumia OS gani?


Il Gambino.
 
Si android au smartphone ; how do I check for the OS? lakini nimenote kuna several java apps
 
Nenda "Getjar.com" download appl inaitwa EMOZE ni nzuri sana, inaunganisha yahoo, gmail, hotmail etc
 
umejaribu: m.gmail.com/app kwenye broweser ya simu yako ikasemaje?





labda nieleze kinachonikuta,

Nikichagua interenet browser landing page ya ngu ni google.

In this case nimesearch m.gmail.com/app nikaletewa majibu mengi lakaini nikacha "Gmail for mobile" nikafika page amabayo ina option za kudownload from Andoid market ama itunes....................sasa hizi connections zake zina kuwa timed out kila ninapojaribu

Nenda "Getjar.com" download appl inaitwa EMOZE ni nzuri sana, inaunganisha yahoo, gmail, hotmail etc

This seems to work nimeanza na Nimbuzz
 
Simu yako haina app ya Android market?

hadi iwe inatumia android os ndio unaweza kuwa na hiyo access, cha msingi google namna ya kufanya imap au pop3 configuration kwa mobile utapata alternative au fungua m.google.com alafu nenda more utaona gmail na hapo utaweza download moja kwa moja hiyo application
 
Back
Top Bottom