Msaada bei ya lg laptop adapter

Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,716
15,275
wadau naombeni kujua sehemu na bei ya kupata laptop adaptor ya lg or kma kuna used poa or anaejua kuzirekebisha zilizoharibika
 
Sema uliyonayo imeharibika vipi sasa iki uweze kusaidiwa.

Kuhusu bei kwanini usiende madukani ukaangalie?Au online kama upo sehemu unayoweza nunua online.
 
Sema uliyonayo imeharibika vipi sasa iki uweze kusaidiwa.

Kuhusu bei kwanini usiende madukani ukaangalie?Au online kama upo sehemu unayoweza nunua online.

2natafta njia tfauti co lazma kwnda dukani direct
 
wadau naombeni kujua sehemu na bei ya kupata laptop adaptor ya lg or kma kuna used poa or anaejua kuzirekebisha zilizoharibika

Kuna mdau mmoja kule kwenye jukwaa la matangazo madogo madogo aliwahi kuweka tangazo kuwa anauza hizo adapters za laptop brands tofauti.So unaweza kumcheki kama anaweza kuwa nayo hiyo ya LG.Aliweka pia contact zake 0713388226.Mimi nilifanikiwa kupata ya Acer kutoka kwake kwa 40,000/-
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom