Watu wa sayansi: Toeni ufanunuzi katika hili. Je, kuna uhusiano wowote kati ya radi na madini?

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Kumekuwa na imani iliyojengeka na kuenea katika jamii kuwa, RADI ina uhusiano mkubwa na madini kwa maana ya kwamba, madini huvuta radi na kusababisha maeneo yenye madini kuwa na radi za mara kwa mara. Jambo hili lina ukweli wowote kisayansi? Maeneo kama Dodoma ni maeneo kame ambayo hupata mvua chache kwa mwaka, hata hivyo mvua hizo hua zikiambatana na radi kali. Kama madini na radi vina uhusiano huo, nadhani ndicho kinachotokea maeneo ya UDOM kwani chuo hicho kimejengwa kwenye ukanda wa dhahabu unaoanzia maeneo ya kiji cha Nzunguni mpaka katika vilima vya Chimwaga.
 
mpaka sasa chanzo cha radi ni matokeo ya muingiliano wa mawingi yenye 'charges' ambazo chanya na hasi, na huzalisha umeme. Hiyo ya madini, aisee ni mpya kwangi ingawa pengne ni jambo linalohitaji utafiti wa kisayansi asili wa dunia hii. Hata hivyo wanasayansi bado wanajiuliza nini chanzo cha radi ambazo huanzia aridhini na kwenda juu angani tofauti na tulizozizoea ambazo umeme wake hutoka angani na kuja chini ardhini.
 
Jamani radi si umeme? na madini mengi ni metali zinazopitisha umeme?
 
hata mimi ningependa kujua kitaalam uhusiano uliopo kwani mikoa mingi yenye madini ardhini inakuwa na matukio mengi ya radi. wataalum tujuzeni
 
Nashawishika nianze kuamini hatua baada ya hatua kwmb kuna relation baina ya umeme radi na madini, mimi early 80's nilikua nafanya kazi Stamico na wkt huo camp yetu ilikua Geita , ktk kijiji kinaitwa Mnekezi ambapo kambi yetu iliitwa bulck-reef asiwambie mtu wadau wangu eebwanae! Radi zilizokua zinapiga pale zijazionapo kwengine hapa Tz kuna siku ilipiga ule mtikisiko wake kitanda changu cha banco kikasogea wastani wa 1 step na kuna cku ule upinde wa mvua (Rainbow) ndy ulishuka au kupita kwenye camp yetu, tulichokiona eneo lote likawa la rangi ya njano ambapo hukuweza kumtambua mwenzako akiwa hatua 5 mbele, zaidi ya yellow, na hapo palikua ni mgodini, na eneo jingine linalofatia kw radi kali ni Bukoba ama Kagera ambapo Necal inapatikana kw wingi, kule Dodoma kuna Ruby so inawezekana kuna ukweli.
 
Bukoba kuna radi jamani mwee!uhusiano wa radi na madini jamani,kiaje?
 
Na vp kuhusu radi wanazotengeneza 'wazee' kwa mbinu za kijadi je kuna ukweli na hapo?.
 
Kama zipo za kununua mi naitaka fasta. Nimpige nayo adui yangu njaa na umasikini.
 
Kumekuwa na imani iliyojengeka na kuenea katika jamii kuwa, RADI ina uhusiano mkubwa na madini kwa maana ya kwamba, madini huvuta radi na kusababisha maeneo yenye madini kuwa na radi za mara kwa mara. Jambo hili lina ukweli wowote kisayansi? Maeneo kama Dodoma ni maeneo kame ambayo hupata mvua chache kwa mwaka, hata hivyo mvua hizo hua zikiambatana na radi kali. Kama madini na radi vina uhusiano huo, nadhani ndicho kinachotokea maeneo ya UDOM kwani chuo hicho kimejengwa kwenye ukanda wa dhahabu unaoanzia maeneo ya kiji cha Nzunguni mpaka katika vilima vya Chimwaga.

Radi ni ngongano wa groups mbili zenye charges tofauti i.e. +ve na -ve ili kustabilize to ground zinatoa energy inform of heat
Then, hewa kwa sababu ni poor conductor i.e.high resistance flow ya electrons toka hewani mpaka kwenye ardhi inakuwa na madhara sana. Kama kuna madini ardhini ambayo ni good conductor ile flow inavutiwa zaidi ili ipate wepesi wa kusafiri na inaweza safiri umbali mrefu kufuatana na mtawanyiko na concentration ya madini ktk ardhi husika.
Sijui kama nimejibu ulivyohitaji ili soma na try to relate them.
 
Nashukuru sana kiongozi. Nimeridhika. Maelezo yako mazuri ntayawaka vizuri ili nipate kitu kamili. Safi sana.
 
Sijawahi sikia kitu hiki.

Lakini kwa mtizamo wangu sioni uhusiano wa madini na radi kwa sababu zifuatazo
1. Kuna madini ambayo ni electrical conductor na baadhi ni non conductor labda uwe specific ni madini gani unayoongelea eg tanzanite
2. Hata madini ambayo ni metal na yanaconudt umeme bado siajona uhusiano wake na radi. Mfano kanda ya ziwa ina dhahabu na madini , mwamba wa maeneo hayo unaitwa greenstone belt, je inamaana kanda ya ziwa yote ina radi nyingi?
3. Mtoa mada ameongelea dodoma, kweli kuna madini aina tofauti tofauti uranium ikiwemo, kwa tafiti zinazoendelea kwa sasa hatujasikia discovery yeyote kubwa ya madini dodoma ambayo ni miongoni mwa conductors. Kama kungekuwa na uhusiano radi katika maeneo yenye madini mengi zaidi yanayoconduct umeme ingekuwa kubwa zaidi kuliko maeneo yenye madini machache yanayoconduct umeme. Mfano Mwanza radi>>dodoma radi
 
Jaman rad na madin kivp?be reasonable as wel as be logically men! lets u ask on ua mind,ulishawah kuona rad kama hamna mvua?xo rad chanzo chake magnetic force iliopo kat ya dunia na anga.anga lina -ve charge na dunia ina +ve charge.hivyo bac kwasababu mvua(maji) ni gud conductor mvua ikinyesha inaonganisha hzo charges hvyo inatokea sparks ambayo ndo rad yenyewe,hvyo bac madin hayahusik kabisa na kutokea kwa rad kwa maelezo zaid soma course ya magnetism.
 
Oh mkuu, sikusema madini yanasababisha radi. Nimesema watu wengi wanaamini kuwa, madini huvuta radi kiasi cha kusababisha maeneo ya aina hiyo kuwa na radi nyingi. Si madini husababisha, hapana. Chanzo cha radi kinajulikana na kila mtu. Sasa hii imani ya nyongeza kuwa yanavuta radi, ndio swali langu la msingi.
 
Hili linahitaji utafiti, wacha nijaribu kuanza kwa kufungua kurasa kadhaa. Na hizi za sumbawnaga vipi wakuu, maana kule radi ni kama sanaa kwa watoto wa primary school kule, wakikorofishana tu mtaalam anakimbilia nyumbani kukaanga bisi, punje moja ikibust tu KITU KINAITIKA HATA KAMA NI KATIKATI YA KIANGAZI.:embarassed2:
 
Mbona ckuelew? madini yanavuta rad kivp?nimekaa kongo bhatinda ambapo almac inapatkana kwa wing,cjaona rad ya kusumbua kiac cha kusema et coz kuna madin.labda ni logic zenu 2 but u have 2 prove it.au nenda sehem inaitwa holili boda ukaone madin ya pozzolanna.mbona rad n' za kawaida kabisa!
 
Back
Top Bottom