Msaada wa haraka tafadhali wakuu.

Msaada wa haraka tafadhali wakuu.

mashambani kwao

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
370
Reaction score
56
Natumia simu aina ya NOKIA 6200 wakuu katika cm hii kuna mahali pa kuifanya kama pcmode lakini nashindwa kutoa michango kupitia mtindo huo.Kwa hiyo naomba kufundishwa matumizi.Sasa natumia upande wa Jfmobile;pia jinsi ya kuplay video,kusoma faili,asanteni sana naomba kuwasilisha.
 
PC mode inafanya iwe slow sana kwa matumizi ya simu. Tumia JF mobile tu. . . . .

Unataka kujua jinsi ya kuplay video wapi na kisoma mafaili wapi?
 
PC mode inafanya iwe slow sana kwa matumizi ya simu. Tumia JF mobile tu. . . . .

Unataka kujua jinsi ya kuplay video wapi na kisoma mafaili wapi?

Lizzy mahali popote pale ila nielekezwe tu
 
Back
Top Bottom