Live TV. . .

Live TV. . .

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,484
Kama una tablet au simu ya android , bila kusahau internet inayoeleweka unaweza ukafurahia kuangalia TV online.
Uzuri wa hii app (tofauti na nyingine nyingi) haikupeleki kwenye website za kizushi, unabadili tu channel kulingana na interest yako.

Baadhi ya channel zilizopo ni NRJ (Paris, Pure, Pop/Rock, Urban na dance) + MTV kwaajili ya music, Eurosport na ESPN kwaajili ya michezo, CNN + BBC + Aljazeera kwaajili ya taarifa ya habari, Star Tv hii naona ina makorokoro ya kila aina, Fox Crime + National Geography + History channel, NASA tv, CINE(+) + Fox movies + Movies kwaajili ya movies pia Cartoon Network na Disney Channel.
Hizo ni baadhi tu (zile zinazonivutia mimi) kwahiyo kama na wewe unataka kufaidi na nyumbani huna king'amuzi nenda tu kwenye Android market utafute LIVE TV (sio zaidi wala pungufu) alafu udownload.

Hamna malipo ya aina yoyote ile.
 
Inawezekana sana tu kwa internet hii ya tz mbona mm naitumia kwa kutumia voda internet na haina shida sema uktaka faidi jiunge unlimited package coz inakula bundles si mchezo
 
android ni operating system inayotumika kwenye mobile devices, ile ideos uliyoikosa kwa elfu hamsini inatumia android os!

kale kasimu sijui nikafate! Kwahiyo najuaje kama simu yangu operating system yake ni android.
 
unaweza weka model ya cm yako ktk mtandao huu www.gsmarena.com na utapata specification zake ikiwa ni pamoja na kujua operating system inayotumia
 
nimeingi hapo, nimesearch simu yangu ila katika specifications walizotoa sijaona sehemu waliyoelezea OS
 
Inawezekana sana tu kwa internet hii ya tz mbona mm naitumia kwa kutumia voda internet na haina shida sema uktaka faidi jiunge unlimited package coz inakula bundles si mchezo

Kiukweli kwa bongo kuangalia online tv bado ni ndoto. Ni kweli speed ya mitandao yetu mingi inawezekana kabisa kusupport streaming bila shida kufuatana na mahali ulipo, maana sio nchi nzima(mimi kwa sasa nipo Tukuyu-Mbeya hapa hakuna 3G ya mtandao wowote) so siwezi kuona online tv.

Unaposema kununua unlimited bundle umesahau kuwa ni voda na ttcl wenye service hiyo, lakini ukumbuke voda wana ya wiki moja 750MB@MAX SPEED baada ya hapo, kimeo. Kuna ya mwezi mmoja 2GB @ max speed zikishaisha, kimeo. Halafu ujiulize kwa picha ya HD au hata SD hizo 750 au 2GB utaangalia kwa muda gani. Ni kweli hata mimi mara kadhaa huwa naangalia EPL lakini kiukweli ni gharama kubwa ambayo huwezi kutegemea kutumia online tv kwa maisha ya kila.

Nasikia ttl wana unlimited ya tsh1000/hr ila sijawahi kuitumia ila nasisitiza kwa hapa bongo bado huwezi kutegemea online tv kwa maisha ya kila siku. Lakini kwa vile ni issue ya kujaribu, fine, jaribuni muone then you decide by yourselves.
 
nimeingi hapo, nimesearch simu yangu ila katika specifications walizotoa sijaona sehemu waliyoelezea OS

samsung,sony ericsson,google nexus,htc,ideos ndo mostly zinatumia android os,hasa hizi za sasa
 
Minimum connection speed ni bite ngapi.

Kwa speed si shida sana coz most of our networks zinasupport vizuri tu. Nyingi ni kati ya 200-800bit/sec wakati mitandao yetu inafikia zaidi ya 1MB/sec. Shida iliyopo ni gharama ya hizo bites. Jaribu kwanza uone kama itakufaa mkuu. Lakini kiukweli ni ghali sana.
 
Kama una tablet au simu ya android , bila kusahau internet inayoeleweka unaweza ukafurahia kuangalia TV online.
Uzuri wa hii app (tofauti na nyingine nyingi) haikupeleki kwenye website za kizushi, unabadili tu channel kulingana na interest yako.

Baadhi ya channel zilizopo ni NRJ (Paris, Pure, Pop/Rock, Urban na dance) + MTV kwaajili ya music, Eurosport na ESPN kwaajili ya michezo, CNN + BBC + Aljazeera kwaajili ya taarifa ya habari, Star Tv hii naona ina makorokoro ya kila aina, Fox Crime + National Geography + History channel, NASA tv, CINE(+) + Fox movies + Movies kwaajili ya movies pia Cartoon Network na Disney Channel.
Hizo ni baadhi tu (zile zinazonivutia mimi) kwahiyo kama na wewe unataka kufaidi na nyumbani huna king'amuzi nenda tu kwenye Android market utafute LIVE TV (sio zaidi wala pungufu) alafu udownload.

Hamna malipo ya aina yoyote ile.

Hapo kwenye red, nadhani malipo yake ni makubwa sana kuliko tunavyodhani. Just imagine MBs zinazokwenda wakati wa streaming, umejaribu ku calculate unatumia MB ngapi kwa saa moja? Kimsingi malipo yapo tena sana tu japo si kwa tv stations zenyewe ila kiasi kinachotozwa na hii mitandao yetu najua hata wewe unafahamu mkuu.

Lakini fine, kwa kuwa vipato vyetu vinatofauriana labda kwa wengine inaweza isiwe shida sana.Mimi mwanzo nilidhani hii ni bora kuliko DSTV maana unapata channels nyingi sana lkn nilipoanza kutumia ndipo nilipogundua uzito wake.

But it's fine, watu wajaribu watatoa majibu yao.
 
Nilimaanisha malipo ya ziada (kulipia app, channel zenyewe).

Alafu kwani wale wanaotumia broadband inakuaje? Si ni wanakua na internet isiyojalisha kiasi gani wanatumia?Au?
 
hahahahahaha!! 3g ipo ila simu ndio imeniangusha. Lol

Hus hata simu yako inaweza ikafanikiwa kama kuna app ya aina hii kwenye soko la OS unayotumia.Ingia uchungulie. . . . .
 
Back
Top Bottom