Yah: Kioo cha Laptop kufifia

Yah: Kioo cha Laptop kufifia

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
ndugu wadau Laptop yangu iliingia maji ya kutosha tu nikaipeleka kwa fundi anifanyie marekebisho, Kuwaka imewaka lakini kioo kinaonyesha kwa mbali...what are the implication guys
 
kinaonesha kwa mbali kinamwanga?? yaani hiko kioo kinawaka mwanga kwamba unaweza kuona hata kama kuna giza??? au kinaonesha kwa mbali lakini hakina mwanga?? nijibu ili nkushauri cha kufanya??
 
yah mwanga upo mkuu lakini mahandishi ndo yamefifia,ina maana hata kama ukiwa kwenye giza waweza ona mahandishi na picha sema vinakua vimefifia
 
Back
Top Bottom