Jamani ipi ni nzuri zaidi BOLT???????????

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
WanaJF mambo vp?natumai hamjambo.Jamani naomba kuuliza kwa sisi tunaotumia simu kwenye facebook ni browse ipi iliyo nzuri kama ilivyokuwa BOLT maana ulikuwa na uwezo wa kuona ni nani aliye ONLINE ukaweza chati nae.
 
Kama ni kwa matumizi ya facebook, nimbuzz na ebuddy are the best, kuhusu browser yenye interface ya pc skyfire is much better zaidi ya bolt
 
mi nipo zangu na operamini tu maana hayo mengine yapo kiFB na twitter zaidi..
 
nenda wap.getjar.com then search for bolt, lakini mi sidhan kama kuna browser bomba kama opera (not operamin)
 
Back
Top Bottom