Anayefahamu kuhusu NBC mobile? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayefahamu kuhusu NBC mobile?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Elai, Dec 25, 2011.

 1. E

  Elai Senior Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimewahi kusikia kuwa NBC wana huduma ya kufanya trunsactions kwa kutumia simu ya mkononi. Kama ni kweli anayefahamu atujuze namna ya kujiunga. Wenzetu wa CRDB wanajiunga kwa kupiga *150*03*
   
 2. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wewe unayetaka kufanya trasactions lazima uwe umeishajiunga na NMB Mobile. Kama unatumia Airtel dial *150*66*01# kisha fuata maelekezo. Ila kama unatumia voda utalazimika kutumia ATM machine kujisajili. Chukua kadi yako ya ATM nenda nayo maelezo mengine utayapata wakati wa kujisajili.

  Mimi nakushauri utumie Airtel , hawana extra charges wakati wa kutumia mbali na ile tsh 100/= wanazokata benki kwa kila huduma.
   
 3. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  inaonekana mitihani hua unafeli sana. Unaulizwa NBC unajibu NMB!
   
 4. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Hakianani tena hii si supliment bali disco... kabisa!

  Haya kama ndo hivyo basi mi nikiri tu kwamba ndio kwanza leo nasikia kitu hicho.
   
 5. E

  Elai Senior Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ninashukuru kwa ziada, lakini mimi nipo NBC not NMB.
   
 6. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  NBC bado hakuna hiyo huduma. Ila wako kwenye process, na ilitakiwa izinduliwe kabla ya NBC Mastercard. Kuna mambo hayajakaa sawa.
   
 7. E

  Elai Senior Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ahsante kwa taarifa, tunasubiri kwa hamu.
   
Loading...