Msaa wa ku UNINSTALL Avast Antivirus

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Wadau nisaidieni kutoa avast kwenye laptop,nimeenda control panel kuliko programs sijaiona.Sijajua itakuwa wapi,msaada plse!

Nawasilisha!
 
Wadau nisaidieni kutoa avast kwenye laptop,nimeenda control panel kuliko programs sijaiona.Sijajua itakuwa wapi,msaada plse!

Nawasilisha!

Daaah kama umekwenda control panel ukaenda kwenye unistall programe haijaapper sijui location yake itakuwa iko wapi sasa?
 
Kwa avast antvirus kuna njia mbili kama haipo katika unstall prog na babo inaonekana inarun tumia setup ya avast kama unayo unakuwa kama unaistall halafu itakuletea option ya ku unstall thn game i'll be iver.
 
una uhakika umeinstall vizuri?
Kuna jamaa aliazima laptop yangu kama miezi 3 hv,kuirudisha amefanya kama alivyofanya kama ya kwake,kafuta vitu muhimu vya kwangu na akaweka vya kwake pamoja na hiyo antivirus,yaani kimeo mkubwa natafuta hadi kichwa kinauma! thx
 
mpaka uwe na cd yake au ufanye kama alivokuelekeza Loook hapo juu..
 
ka-delete kwenye registry
  1. Click Start
  2. Click Run
  3. Type REGEDIT
  4. Click OK
  5. The Registry Editor will now open
  6. Browse to the key containing the value you wish to modify. Click once to highlight the key.
  7. The values contained in the key will now appear in the right pane. Right-click the value you wish to modify.
  8. From the right-click menu, choose the action you wish to take: Modify; Modify Binary Data; Delete; or Rename.
Kuwa makini usije uka-select folder/file tofauti itakula kwako....
 
download kafile kanaitwa avasti remover halafu ukarun inamaliza mchezo
 
Mtafute Sugu

Mtu anyehtaji msaada apewe na kama hwezi kmsaidia hyo mtu dont comment. Heb lcheck hili jamaa na comment yake, hapo lmejfanya lmekomesha... Hii ni Jamii Forum special for great thinkers na wengne wenye uwezo wa ktoa michango yao kwa hekima na busara.
 
Back
Top Bottom