Modem ipi na mtandao gani ni bora zaidi kwa Video, Skype (VoIP) na Internet kwa ujumla? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Modem ipi na mtandao gani ni bora zaidi kwa Video, Skype (VoIP) na Internet kwa ujumla?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by 3squere, Dec 8, 2011.

 1. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Modem ep nzuri kati ya hizi
  Tigo
  Vodacom/vodafone
  Airtel
  Ttcl
  Zantel
  Sasatel
  Naombeni msahada na ushauri kiufundi
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  List yako inataja mitandao ya simu, ila sawa tu.
  TiGO, Zantel na Sasatel ni limited kwa maeneo fulani fulani tu. Zilizobaki atleast unaweza kutumia almost kila pahala nchini.
  Kuhusu speed na reliability, cost effectiveness n.k. watakuja wengine
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  ni vizuri pia ukitaja eneo ulilopo ili watu wa hapo wakusaidie, maeneo mengi yana mitandao ila ni EDGE au GPRS
   
 4. mbuvu

  mbuvu Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Safaricom ni nzuri sana inatumia line zote.
   
 5. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Angalia bundles pia ambazo unaweza kuzi afford nadhani airtell wapo poa unaweza kuichukua ni nzuri kwani na me ndo nai2mia bana.
   
 6. aabb

  aabb Senior Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Uzuri wa modem ni kwenye matumizi, nadhani kama kwako airtel inapatikana 3G basi ni nzuri kwani bundle zake ni nzuri na ni kubwa kwa gharama ile ile kulinganisha na wengine.
   
 7. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kulingana na navyojua mimi! mitandao ya voda na irtel ndo imesambaa zaidi! nunua vodafone alafu uinstall join air! yan utabadilisha line kama kawaida! na modem yako itapiga kazi bila shida!
   
 8. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nilinunua vodafone nikainstall join air lakini inasema dissconect sijui kuna tatizo gani hapo
   
 9. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Modem za voda zina makundi mawili
  Moja zinauzwa 25000 na 35000 utofauti huu una mana gani
   
 10. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani wewe umenunua ya shingapi? hiyo joinair uliinstall pamoja na driver zake?
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hawa ni wezi fluu! Maana mpk ss nimejaribu ku2mia modem zote hizi ktk bei tajwa ila gonjwa ni ile ile!
   
 12. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Uko sahihi kabisa mkuu.
  Kama atakuwa maeneo ambayo Airtel ina shika 3G ni vizuri anunue Airtel ni nafuu kwa matumizi ya kwawaida.
  Ila kama matumizi yake ni makubwa kwa vyovyote Vodacon is good choice.

  Ila mimi naona kwa matumizi makubwa na ya kati ya internet, mitandao yetu bado gharama zake ziko juu sana.
   
 13. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nadhan uko mahal ambapo 3ghdpsa ina support cha kukushauri chukua formatted modem at least utumie kwa mitandao yote ili mrad una cheap za hyo mitandao kwan isiyobagua mtandao haina tatizo na ni nzur sana au kama una uwezo chek hata modem za huawei lakin isiwe selective kwa mtandao fulan kwa mitandao yote ndo nzur
   
 14. rfjt

  rfjt Senior Member

  #14
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ''formatted modems'' zinapatikana wapi?
   
 15. kimpango

  kimpango JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 80
  japo nillibiwa lakini nilikuwa na modem ya huawei ya line zote sio ya kuchakachuliwa kazi ukiwa nayo kazi yako ni kuangalia mtandao upi unapatikana ulipo na wapi kuna promotions jaribu kui google huawei moderms
   
 16. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama upo sehemu ambayo hawa jamaa zetu TTCL mobile inapatika jaribu kuchukua modem yao kwani mtandao wao uko faster, reliable na ni cost effective. Mi nawatumia kwa muda mrefu sasa kwa kweli viko bomba, wana kitu kinaitwa 'BANJUKA' ni ya kizalendo zaidi. Tatizo lao kubwa hawajitangazi.
   
 17. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sijajua mkuu uko wapi?me mida hii natoka nairobi na nitakuwepo mwanza,pale ulipo niambie afu nikudirect ukamwone nan?masharti na vigezo kuzingatiwa
   
 18. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #18
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Modem hazina tofauti. Tofauti zipo kwa service providers. Tofauti ni kama vile bundles, network strength, network availability (coverage), expenses, etc. Ushauri wangu, chukuwa formatted modem, jaribu service provider mmoja baada ya mwingine. Utakayeona katulia, ganda hapohapo. NB: Uki-change location, mambo yaweza kuwa tofauti.
   
 19. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #19
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tafuta Universal modem, hii itakupa uhuru wa ku-twist mtandao wowote ambao unapatikana mahali utakapokuwepo. Zipo nyingi mfano ni modem za Safaricom.
   
 20. M

  Mshahar New Member

  #20
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nunua vodafone k3570 ina speed mpaka 3.6Mps halafu: 1. "ichakachue" kama huwezi tafuta software ya ZTE Joinair 2. nunua bundle ya airtel ya 2500 unapata 400mb kwa siku 30 utaipenda
   
Loading...