Naomba msaada wenu nifanyeje Laptop iliingiwa na virus (Trojan), nime scan bado imificha programs, program ZOTE nikifungua inatokea Window Media, hata Icons zote zaonesha Windows media player.
Sulisho la formatting ni la kis student student zaidi na mtu anayeanza anza anza kujua mambo ya kompyuta. Format should be the last verylast option. Na kwa dunia ya sasa yenye google format si dawa.
Vil vile ukiwa mtu mwepesi wa kuformat hutakaa kujua sababu na njia muafaka za kutatua matatizo ya kompyuta na hata ufanyaji kazi wa komyuta.
Tuirudi kwenye mada.
Ukiwasilisha tatizo japo sema unatumia OS gani na vitu kama hivyo na kama ni trojna alikuwa anaitwaje. but sio muhmu sana sababu umetja madhara yake .
But any way unaweza kusoma kwenyekiuganisho hiki hapa kupata muongozo wa kutatua tatizo lako
Mapendekzo
I
Kwanza jaribu ku Tegeza account ya user mpya uone kama itakuwa na tatizo kama hilo. Kama user mpya atakuwa hana tatizo kama hilo basi USer profile ndio imecorrupt. Ku fix prfile ya user iliyokuwa crrupted soma hapa
II
Au jaribu kufanya windows system Restore . Chagua restore point ya siku za nyuma kabla ya tatizo. Hii njia inafanana na njia nne palechini kwani itarekebsiah Registry automatically tofauti na njia ya nne utatkiwa kufanya hivyo manually.
III
Mannually Badilisha kila program inatkiwa ufunguliwa inafuguliwa by defult na program gani . How? Soma hapa
Nashukuru saana kwa ushauri mzuri wa kitaalam, unt virus nitumiayo ni Microsoft essentials, Kaspersky naweza ipata/download, shida kuifungua 4installation inakuja hiyo windows media player,
ZING Nashukuru kwa ushauri, nitaufanyia kazi mapemaaa.
Kama una installation cd yake ifanyie repair kisha ndio uifanyie scanning na av.
Au uninstall media player inaweza kusaidia pia, kisha fanya scanning then download na install tena.
Ingekuwa vyema kujua unatumia windows gani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.