Nitapata wapi fuse ya X-mas tree lights za aina hii?

Opaque

JF-Expert Member
Oct 24, 2008
1,359
716
Nina x-mas tree lights ambayo ina branches mbili. Branch moja inafanya kazi na nyingine haifanyi (taa haziwaki). Baada ya troubleshooting, nikagundua kwamba hizo lights zina fuse ambazo nazo zipo katika form/umbile la hizo lights, ila zina rangi tofauti (nyeupe). Fuse moja imeungua that leads to failure ya branch lisilowaka. Nimeangalia package niliyonunulia mwaka jana, sijaona spare fuse yoyote. Naomba mnijulishe hizi fuse zinapatikanaje, na nitazipata wapi nikiwa Dar.

attachment.php
 
Wakuu vipi, nangoja mwenye jibu anipatie nienjoy mataa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom