timewacher 5.11 serial

timewacher 5.11 serial

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,466
Reaction score
822
msaa jamani wa hiyo software ambayo ina key zake nimepata lakini ni evaluation so zinasumbua kwenye network system
 
msaa jamani wa hiyo software ambayo ina key zake nimepata lakini ni evaluation so zinasumbua kwenye network system

Hiyo app japo ni evaluation nimeitumia kwa muda mrefu sasa na haisumbui, ni rahisi sana kuitumia kama una network nzuri na computer zote zipo kwenye Workgroup moja na zina share resources, Chagua computer moja ambayo utaitumia kucontrol computer nyingine, wakati wa Installation chagua server/Client, wakati wa kuinstall computer nyingine una install Network Version the unazifanyia configuration kwa kuzipa Ip Adress ya ile computer uliyoamua kuitumia kucontrol nyingine...
 
Back
Top Bottom