Msaada wa ku unlock blackberry 8520 curve

baghozed

JF-Expert Member
May 26, 2011
533
93
Wana JF naomba msaada wenu kama kuna njia naweza fanya ku unlock hii simu
 
jeeva

Member
Mar 13, 2010
61
5
Many methods are there to unlock mobile phones among that codes are the best way because its safe for your mobile........
Get the unlock code from this site Simple Unlocking , before that get the unlocking instructions for your mobile through this site Mobile Unlock Guide , here it gives the step by step instructions to unlock mobile phone......
 
g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49

inaonyesha jinsi ya kunlock sema still unaingia cost za kunlock your phone.
 
drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,544
276
inasema invald sim? ni mpaka itolewe lock ungeweza kunitumia imei na mep no yake ningekukaluketia code zake nikutumia lakini unaweza kunitumia? nikusaidie online others unione
 
Jagermaster

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
655
296
Kama upo Dar nenda Sapna mtaa wa Samora pale, uwe na fifty ya kazi fasta tu, mimi walinisaidia mwaka jana
 
Msarendo

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
10,074
5,629
Kwa nini ui unlock? Kama haijatengenezwa special kwa tanzania. Acha watumie huko huko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom