IrDA
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 745
- 361
Wadau naombeni mnisaidie katika hili kwasababu hata sielewi tatizo nini,nikiwapigia customer care wanasema watalishughulikia lakini nimekaa masaaa kama saba hivi bila solution.
Tatizo lenyewe ni kwamba kila nikijaribu kujiunga na bundles za airtel natumiwa message hii
"Dear customer. Sorry, you are not allowed to use this service. The tariff plan that you are currently on has better benefits than the one you are requesting."
Sasa nashindwa kuelewa kwasababu sijaunga na tariff plan yoyote,hivyo naomba yoyote anayefahamu jinsi ya kusolve tatizo hili anisaidie