Jamii forums for android : Requirement Specification

Ayubu

Member
Apr 6, 2009
17
17
Wadau.
Nimekuwa nikitumia browser kusafu jamii forums kwenye simu yangu bila shida yoyote japokuwa kuna limitations mbalimbali lakini nafikiri kuwa inafanya vizuri. Sasa juzi si nikapata bahati kuinstall Jamii forums for android kwenye simu yangu. Kwa kweli ni mwanzo mzuri ila naomba nitoe mawazo yangu kwa mambo ambayo nafikiri yakiwekwa au kurekebishwa itakuwa vizuri sana. Nimeweka hapa natumaini kuwa wadau wengine pia wataweka mawazo yao na kupata kitu kizuri.
Kwa kuwa hii ni mobile app naomba it should not be a clone of a web as we already have a Jamii forums web for mobile. Instead it should exploit the real power of smart phone and other mobile devices.
Ili kuwasaidia waumbaji wa hii app mimi natumia Samsung galaxy s2 hivyo ni android 2.3
  1. Nikirun hii app na kufungua thread baadhi imekuwa ikicrash sijui kwa nini. Yawezekana thread ni ndefu sana au labda ni fupi au labda kuna baadhi ya herufi zinaisumbua app. Naomba mliangalie.
  2. Nikilogin kwenye app halafu nikasaf weeee! kisha nikabonyeza back button ya simu yangu itarudi kwenye previous page mpaka mwisho itaniambia ‘do you want to log out'. Shida yangu ni hilo swali ,kwa kuwa nimelog in kwenye app hakuna haja ya kuniuliza kwani nia yangu kubonyeza back huwa inakuwa sio kulog off.
  • Napendekeza user akiizima app yake basi ilogout automatically ila akija tena wakati mwingine ilogin automatically isipokuwa kama wakati ulipita alilog off.
  • Kama app haitumiki japokuwa ina run basi ilog off ila baada ya muda Fulani basi user akiitumia ilog in .
Hapa natumaini wadau tunaweza kupendekeza zaidi .
3. Kubadili kati ya majukwaa ni shida sana hapa naomba lirekebishwe.

4. Searching should be there. Pia naomba mtumie powerfull fulltext search engine.5. Online users.
Sio lazima sana ila itapendeza sana kwa mfano natembelea uzi Fulani kwa kuwa kuna majina ya mtu aliyechangia kwa kila jibu basi kama huyo mtu yuko online basi jina libadilike rangi kuwa kijani.

6. Subscription
Naamini kuna notification kama mtu atasubscribe. Sasa nafikiri kama nitacomment thread Fulani basi niwe subscribed automatically. Ila naweza kuunsubscribe. This behavior should be changeable through settings.
User should be able to see list of subscribed thread.
7. Notifications.
One should be notified when gets new Private message, His/Her message gets replied. This behavior should be changeable through settings
  1. When returning to the thread next time I should be focused to the last reply I read previous time.
  2. Media
The app should be integrated to the device camera in such a way that it is possible to shoot a picture and have it uploaded automatically.
Uploading attachments should be simple.
8. User oriented.
Since user can surf jamii forums through computer then later through mobile device I propose there should be synchronization in all devicesI use let say In my computer I last time surfed certain thread. When later I open the app it should straight open where I ended last in my computer.
Another example of this is that. When I am surfing in my computer I get a new PM and I read it. Later when I open the mobile device I should not a notification of a new PM message, This behavior should be the same even for threads

9. Offline

User can make a cache of a certain threads and have it downloaded in his device in case he goes out of network.

10 . Cross platform

Naomba tutengeneze app kwa ajili ya Ios( e.g Iphone na Ipad ) , Android na Windows Phone , na pia kwa ajili ya Windows 8 Metro
Hii inaweza ikawa challenging ila kuna njia mbili ninazoziona
  1. Jamii forums watengeneze API ( Application programming interface ) ambayo itafanya jamii forums iwe open halafu third party can make their applications using the api.
Sasa Jamii forum can have a certification to the apps ambazo zina meet their standards.
2. Kuna frameworkds ambazo zinaweza kutusaidia kutengeza kwa IOS, Android and Windows Phone at the same time. Niko tayari kusaidia

11. Sexy
Here I mean that instead of having a reply button one can long press the another person's message and just a menu appear with these options Reply, Report Abuse,Send PM, Save to favourites,Select all.

If a long press my message there a menu pops up with these option Attach file ( opens my files automatically) ,Attach picture ( Opens gallery), Take picture ( Opens camera), Discard, select all.

Kama kuna mengine au mawazo tofauti wadau tuchangie
 
Just use Tapatalk!

Nashukuru kwa ushauri.
Taitumia nitakapoweza kununua online nasikia crdb na nbc wanasupport hizo transaction, tacheki nao

Ila specification itawasaidia waliokuwa wanatengeneza app ya Jamii forums for android labda kama wameachana nayo.
 
sasa hivi wako bize na wapsite kwani ndio watu wengi wanaitumia kuliko app ndio maana wanainvest sana kwenye wapsite..by invisible
 
sasa hivi wako bize na wapsite kwani ndio watu wengi wanaitumia kuliko app ndio maana wanainvest sana kwenye wapsite..by invisible

Ni kweli wako bize ombi langu ni kuwa hizi requirements can be used when they start. Pia nafikiri kwa kuwa kutengeneza apps kuna ugumu ( itachukua muda na heavy resources) kuna watu wanaoweza kutengeneza in their spare time. mimi ni mmoja wapo. Labda kama kuna ugumu wa kuruhisu watu wa nje kusaidia ndio ishu.
 
Ndio ipo we nenda kwenye market
halafu search JamiiForums utaipata.
Kama hujapata search JamiiForums for Android
Ahsante nimeipata.
Sema naona haiwezekani kupata list ya majukwaa yote alafu mtu achague anataka lipi.

Bora tuendelea na hii via mobile.
 
Ahsante nimeipata.
Sema naona haiwezekani kupata list ya majukwaa yote alafu mtu achague anataka lipi.

Bora tuendelea na hii via mobile.

Kweli kama watarekebisha katika vitu nivyoandika itakuwa bomba. Mi pia nilipotumia nilirudi kwenye via mobil
 
Kazi nzuri ila inahitaji refinements nyingi. Kwenye Galaxy Mini yangu ime-crash kabla hata sijapata muda wa kupitia vizuri
 
Nashukuru kwa ushauri.
Taitumia nitakapoweza kununua online nasikia crdb na nbc wanasupport hizo transaction, tacheki nao

Ila specification itawasaidia waliokuwa wanatengeneza app ya Jamii forums for android labda kama wameachana nayo.

Upo bongo halaf unataka kununua sofwares online? :S Kama una android nenda 4shared.com. Search Tapatalk apk. Chagua latest version,download,install,enjoy JF
 
Back
Top Bottom