Ni nini Tofauti!?

Ni nini Tofauti!?

Kiresua

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2009
Posts
1,183
Reaction score
261
Wanajamvi wa jukwaa la sayansi na technologia,

nimekuwa nikisikia kuwa, kuna mafriji ya Feni na Coil, hivi nini tofauti yake....??? kwani nilipochimba kwenye mtandao on how these stuffs works, sikuona mahali wanasema kuwa vitu huwa vinakuwa cooled kwa feni!! yote huwa ni movement ya gas (refrigirant) in the form of hot gas - liquid gas - cooled gas mpango ndo kama huo,

kwa muda sas nimekuwa nikichimba hii kitu, kwa kweli sijaona wanamention friji ya feni na ya coil, zote zina coil.... correct me if i am wrong!!!

Just being curious!!!

huwa sichoki kusoma vitu mbalimbali ninavyokuwa interested kujua

asanteni kwa kunijuza
 
Back
Top Bottom