Msaada wajemeni sina raha!

Msaada wajemeni sina raha!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
Computer yangu haifungui website ya jamiiforums, nyinginezo ziko vizuri! Hii imekuwaje?
 
Ebu jarib kuingilia google..
Ikishndw jarib ku clear hizo cokies
 
au ip yake imebaniwa na jamiiforum, ulishawahi kufanya abuse humu??
 
Hata mimi ilishaniletea tatizo kama hilo la kutokufungua jamiiforums nilikuwa natumia mozilla firefox kumbe ilikuwa outdated nikai uptodate hiyo mozilla kitu saaaaaaafi mpaka wa leo.
 
Unatumia browser gani??? jaribu kuclear cache na browsing na pia pia kuclean computer

natumia internet explorer,nielekeze naanzaje mpango mzima huo! Yani cache nazipataje na ku clean computer?
 
au ip yake imebaniwa na jamiiforum, ulishawahi kufanya abuse humu??

sijatukana mimi,mbona kwingine naingia hata sasa ivi mbona nipo hewani? Sema jana umeme ulikatika vibaya wakati nipo online sasa sijui inachangia?
 
Back
Top Bottom