adroid OS kwa ajili ya PC

adroid OS kwa ajili ya PC

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
1,576
Reaction score
2,221
Katika pitia pitia zangu katika web page tofauti tofauti youtube ikiwa moja wapo nimepa idea ya kuinstall android operating system kwenye computers...nikahisi litakuwa si jambo baya kama nita install kwenye mashine yangu kwa vile adroid inasifika kuwa na applications na software za kutosha kwenye market yao...naomba ushauri kwa wataalamu kabla sijachukua uwamuzi wakuinstall kwenye mashine yangu
 
haina maana, install OS ya PC, windows au some Linux.
 
Usi install Android OS as a primary OS kwenye PC yako, unachoweza kufanya na ninachokushauri ni kuinstall Android Emulator kwenye PC yako. Install Android emulator juu ya OS nyingine (Windows/Linux/OSX). Unaweza kuitumia hiyo emulator kurun program mbali mbali za Android.

Link ya site unayoweza kudownload hiyo ni
Android SDK | Android Developers
 
Nashukuru wadau...labda pia niulize hapa swali moja la mwisho.....kama vile baadhi ya wataalamu hapa walishaleta njia mbadala ya kuinstall mac os kwenye PC je swala hili pia lina wezekana kufanyika kwenye simu..kunauwezekano wa kuinstall adroid os labda kwenye nokia au blackberry....nawasilisha
 
Back
Top Bottom