MSAADA;Toshiba Satellite Pro L300 Imezima Kabisa na haitaki Kuamka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA;Toshiba Satellite Pro L300 Imezima Kabisa na haitaki Kuamka!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Amoeba, Jan 24, 2012.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Wakuu mashine hiyo imezima kabisa na haitaki kuwaka baada ya ku-update BIOS. Aliyewahi kukutana na tatizo kama hilo tafadhali nisaidieni ufumbuzi wa tatizo kama hilo! Natanguliza shukrani zangu.
   
 2. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  dahhh!! inawezekana ikawa imekufa kabisa. Embu nipe maelezo nini kilitokea wakati unaupdate BIOS yako???
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  The update process went smoothly, lakn nilivostart kitu kikalala!.......mwe!
   
 4. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ina maana huoni maadishi yeyote hata F8 na F2 hazileti kitu? Yaan huoni hata black screen yenye maelezo? Na hiyo update ya BIOS uliitoa wapi kamanda?

  Inawezekana pia CMOS inatakikiwa kuwa sycronised ili ipate kumbukumbu za BIOS mpya. May be bado ina zile za zamani amabzo hazipo tena
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Siwezi kukupa maelezo ya uhakika ya sababu ambayo imepelekea computer yako kutokuwaka but kuna sababu kuu 2 ambazo zinaweza kusababisha tatizo hili litokee. Kwanza kabisa unapoupdate BIOS hakikisha kuwa hiyo firmware uliyodownload was designed for you computer. kama ukitumia firmware tofauti na iliyodesigniwa na motherboard yako utaidamage ROm yako. Kitu vkingine ambacho kinaweza kusababisha jambo hili litokee ni ineruption yoyote ambayo inaweza kutokea wakati unaflash BIOS. wkaati unaflash BIOS haitakiwi kitu chochote kije kiinterfere iwe ni kuikatisha au kuzimika ghafla na kama ikitoke basi kuna uwezekano mkubwa wa kudamage ROM yako. and when the ROM is dead the whole motherboard is dead and there is no way of reapairing it.
   
 6. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Anamaanisha haiwaki kabisa which means he killed the ROM while flashing the BIOS
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
 8. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Young Master Thank But ROM is (Read Only Memory) How can u kill the ROM while it is just for reading and not wrtiting
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 10. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Go to google and check out types of ROM
   
 11. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Unategemea atatatuaje tatizo wakati haiwaki kabisa???
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu Ungejaribu kupitia pitia hizo link. Mi sijacopy a kupaste tu bila kuona kama zinaweza kuwa na "dawa"

  Kuna comment kama hii

  Na mwingie huyu hapa anajiita yarivc kaandika detail na step hatua kwa hatua ila mashine yake inaweza kuwa modl tofauti so hata BIOS Crisis disk inaweza kuwa tofauti. Laini kama na yake ni Phoenix basi anaweza kujaribu hiyo hiyo
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Nadhani bado haujanielewa mkuu how can he even try to repair wakati computer haiwaki kabisa. Tatizo sio kuboot tatizo ni kwamba haiwaki kabisa
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Youg Matser how did we know that he had a problem. He has an acess to computer wich he used the post the subject post. So he can use another PC to gather required utility in CD or USB and try to revive.

  Na ukisoma maelezo hapo juu kama ni yale yale kama mada ilivyo yaani corruption ya BIOS . Ndi hapo ikifikia hatua hiyo unahitaji BIOS crisis Disk . So atafute na komyuta apakue hiy nyenzo ajaribu. M

  Unaona hata kuna maelezo jinsi ya kujaribu kuacess BIOS
  Na sio mbaya kujaribu .
   
 15. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35


  kama unahakika na firmware ulio update ni za toshiba satellite pro basi unachotakiwa kufanya ni kuchomoa battery na tazama cmo battery kama ipo kwenye ram chomoa cmo than press power button kwa sekunde kama 20 than rudisha kilakitu washa computer inaweza kuwaka latizo hilo hutokea wakati wa ku update bios jaribu utupe feedback
   
 16. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  fatma nadhani haujamuelewa. Yeye anasema haiwaki kabisa. na sio inawaka lakini hai display
   
 17. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  nimemuelewa ni kwamba haiwaki kabisa kama iliyo kufa processor ilisha tokea moja ilikuwa hivyo hivyo baada ya ku update farmware ikazima kabisa tuka tumia njia hiyo just ajaribu tu inaweza ikasaidia
   
 18. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #18
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  iliyokufa processor inawaka but haidisplay chochote. lakini yeye anachosema hapo ni kwamba haiwaki kabisa
   
 19. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  kama haiwaki kasisa basi imekufa
   
 20. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #20
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Hicho ndicho ambacho mimi nilikuwa najaribu kumueleza
   
Loading...