Nijulisheni aina nyingine ya king'amuzi star times hakifai

Mutta

Senior Member
Mar 24, 2011
101
11
Naomba ndugu zangu mnijulishe aina nyingine za Ving'amuzi vizuri maana hiki cha star times kimezidi MIKWARUZO.Mwanzoni kilikuwa safi,mara wakabadilisha Package,UHURU{ 18000} na MAMBO{ 9000}.sijatumia TING hivyo sijui ubora wake.Kama umetumia nijulishe hasa kwenye LIGI ya UK{ EPL}.kama kuna King'amuzi ambacho kinaonesha Epl nisaidie.Sina uwezo wa kulipia 12000 za DSTV.
 
Sikia mkuu kama wew ni mpekuzi wa na msomaji wa thread hapa jamvini bila shaka mi nategemea baada ya siku chache utakuwa shuhuda na kuwashukuru wadau.

Sikia mkuu usihangaike na hizo takataka bombei za kulipia kwa mwezi kuna wadau wamesha mwaga maujuzi hapa na maelim ya kutosha mpaka yakuangalia epl bureee.

Kuhusu suala la receiver wadau washafunguka sana kuna thread zipo humu humu zina kila kitu tulia na peruzi moja baada ya nyingine na usiwe mvivu wa kusoma coment
 
Ting ni wahuni wakubwa .kama unataka epl baki na dstv au nenda abuzabi tv kwa laki 650000 kwa mwaka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom