Msaada blogspot designing

Wakuu niko kwenye NGO ya kuwawezesha watoto (YOSSO) na nahitaji kuiboresha design ya hii blog yetu iwe na muenekano kama wa blog hii (KILI CHILD EMPOWERING FOUNDATION (Kicef.)). Yaani iwe na pages za home, our projects, about us, contact us na kadhalika. Msaada tafadhali na mathanks kibao natanguliza!

Why utengeneze blog? Me nna idea tofaut mevisit hio page hapo juu naona kama kubwa sana. Tengeneza website kabisa ingia hapa http://webs.com tengeneza account chagua template itayokufaa then tengeneza its easy itakua simple na inayopendeza
 
Good idea nshatumia hii webs iko poa chek nlitengeneza tmlo.webs.com
 
Wakuu niko kwenye NGO ya kuwawezesha watoto (YOSSO) na nahitaji kuiboresha design ya hii blog yetu iwe na muenekano kama wa blog hii (KILI CHILD EMPOWERING FOUNDATION (Kicef.)). Yaani iwe na pages za home, our projects, about us, contact us na kadhalika. Msaada tafadhali na mathanks kibao natanguliza!
Nitumie information unazotaka kisha naweza kukudesignia blog yenye vitu unavyohitaji kwa muda wa siku moja na nusu, bila malipo yoyote, ila itakua nikama mchango wangu kwenye hiyo asasi yenu... Ni pm kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom