Privacy laws on personal info/data in TZ government sites

kotinkarwak

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
376
114
On the ministry of education page, I have noticed that personal details i.e. exam results and teacher posting displaying the info in spreadsheets, Don't we have a privacy policy in TZ.
 
No, and nobody actually cares. Umeona kuna "privacy policy" kwenye hiyo web?
Hakuna, hii ni Tanzania
 
In kenya juzi tu nimesoma "
How 103 Kenya govt sites were hacked
", the sites are implemented without the consideration of any security features mwisho wa siku no confidentiality on personal data.
Tunajua nchi nyingi za kwetu huku hakuna hata privacy policies that are in place, the least tunachoweza kufanya ni system designers na developers kuzingatia security issues when developing such systems.
 
I think as the banking systems start implementing credit scoring mechanisms or requiring that this is in place, privacy will/should be considered by these sites. It is unfortunate that we seem to react to events in everything we do, never ones to set-up things right from the beginning.
Je maofisini, si siri ya mtu hutunzwa, au nako wanaanika mishahara ya watu in notice boards?
 
Nadhani hii thread ingenoga kama ungeipeleka kule jukwaa la sheria.
Hapa Tanzania hakuna sheria moja maalumu inayolinda haki ya usiri
maarufu"right to privacy" au kama inavyotambuliwa huko duniani "Haki ya kuwa pekee"
(Right to be alone)
Hata hivyo haki hiyo hulindwa na ibara ya 16 ya katiba yetu.
Lakini pia zipo sheria za kisekta zinazolinda haki hiyo
Mfano; Section 42(1) of Electronic and Postal Communication Act, 2010 inasema wazi kuwa makampuni
ya posta yaliyopewa leseni yanawajibika kutunza siri za wateja wao...
Pia zipo sheria nyingine, kama ya madaktari(siri za wagonjwa), Usalama wa taifa(siri za serikali) n.k

Watu kuacha hovyo hadharani mabo ya watu ambayo yalipaswa kuwa siri ni Laxity tu
inayotokana na tabia ya watanzania kutokuwafikisha mahakamani watu wanaoanika siri zenu
hadharani, au wanaoingilia haki ya mtu ya kubaki pekee...
Yule ambaye haki yake imeingiliwa/vunjwa ndiye mwenye jukumu la kuchukua hatua...
 
Back
Top Bottom