jinsi ya kujua password ya mtu aliyo save kwakutumia Mozila Fire Fox

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
Tafuta options fungua ¬ nenda kwenye security ¬Bonyeza saved Password chini kulia ¬ Andika jina la tovuti na username kwenye sehemu ya kutaftia ya mtu unaetaka jua password yake kisha bonyeza kitufe cha show password ¬ Utaona Pasword yake aliyo save
 
mkuu nipe maelezo ya kia cjakusoma
 
Mkuu hiyo nikwale walioruhusu mozzila browser kukumbuka pswrd lakini aliyesema never in this site hautapata kamwe!!je kama unataka mtu kwa kutumia pc nyingine??
 
Asante sana mkuu nimefanikiwa kuona password zote na zaidi zaidi nimeweza ku-set master password!
 
Back
Top Bottom