HELP: Kwa anayeijua Opera mini 6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HELP: Kwa anayeijua Opera mini 6

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kasigi, Jan 26, 2012.

 1. K

  Kasigi Senior Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nnaomba msaada jamani mi nnatumia Opera mini6 lakini haitaki kusave pages kila nikisave inaniambia failed to save, cjui tatizo nini haswa. Napia ningeomba kujua kama kwa kutumia hii browser je ninaweza kupost link inayowakilishwa na neno? Mfano click HERE
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ku Save File ina tegemea aina ya simu au version ya Opera Mini unayotumia. Unaweza Kushea Link moja kwa moja kwa kutumia Opera Mini inayoanzia v4.3 lakini utakuwa limited ktk social network tu kama vile Face Book, Twitter au Yahoo. Hapa Jamii Forum ukiandika vizuri book mark moja kwa moja itakuwa link.
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...inawezekana hujachagua "file" la kuhifadhia.
  ...labda ume"download" opera isiokua na "signed certificate"
  ...pia angalia "memory" ya simu yako.
   
 4. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Jaribu kuangalia free memory.pengine simu imejaa
   
 5. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kuweka link JF kwa simu ni hivi mkuu
  Unaandika

  (url="www.jamiiforums.com")CLICK HERE(/url)

  yani ndani ya quotation hizi " " ndiyo unaandika website unayotaka kuiwekea link then pale nilipoandika CLICK HERE ndiyo unaandika maneno ambayo yajitokeze hapa kwenye post. Pia most important step. Kwenye zile bracket za hizi ( ) zibadilishe ziwe square bracket. Yani hivi [ ]. Zipo bracket nne za hvi ( ) so zote zibadilishe ziwe hivi [ ] .Nimeweka bracket za hvi ( ) ili niweze kuelezea mkuu maana ningeweka za hvi
  [ ]
  ingetokea link yenyewe halafu usingeweza ona mfano wa link kwa simu inawekwaje.
   
 6. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongera sana mkuu nashukuru kwa huu msaada.Pia nilikuwa na tatizo hilo.
   
 7. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kuanzia Opera mini v 5.0 zina uwezo wa kusave pages. Mimi pia natumia v6.5 katika Nokia 5130 XpressMusic inasave pages kama kawaida. Awali nilikuwa ninatumia v5.1 ilikuwa inasave baadaye ikaanza kugoma. Kwa hiyo matatizo ya namna hii kwa kawaida yanatokana na simu yako. Memory inayohusika ni RAM( random access memory)ambayo ikipungua inasababisha matatizo ya utendaji mbovu wa simu. Huenda likawa tatizo la muda tu jaribu tena na tena labda kuna siku utafurahi. Lakini uliwahi kusave page au hujawahi?
   
 8. K

  Kasigi Senior Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Thanks all nilichogundua ni kwamba kwenye setting za App access katika reading and editing user data ilikuwa imejiset to not allowed.
   
Loading...