Hv hizi 200mb ni kwajili ya phone au hata kwa modem?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau natumia zain ila kuna wakat flan ukitumia huduma zao ukipres *102*6# wanasema umepewa 200mb to use 11hrs to 06hrs hv hz mb ni matumiz ya cm pekee au naweza tumia kwa comp pia!
 
Mbona mimi hawajawahi kunipa hzo wakuu,au ni kwa baadhi ya watu?
 
Dio we ikifika saa 5 usiku chomeka modem ama simu line ya airtel utatumia hizo 200mb,ila line yako isiwe na internet bundle!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom