kwa wale wa vitu vya apple,iphone,ipod na ipad | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wale wa vitu vya apple,iphone,ipod na ipad

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by edjizzo, Jun 4, 2011.

 1. edjizzo

  edjizzo Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chizicomputer

  sasa anatoa huma ya msaada kwa wale ambao wame lock iphone,ipad,ipod

  nipigie sio una nibeep

  0712484995
   
 2. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa nn usiwasaidie hapahapa jamvini?!!!
   
 3. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mzee wa chizi comptr, huku niliko ni nje ya tz na kuna wa2 weng wanaitaj msaada, so nitafute tufanye biashara bab!
   
 4. papaa masikini

  papaa masikini Senior Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Chizi...umetokea wakti muafaka,kuna kama hizi used zinazotokea dubai,huwa zinachosha sana...tutafanya kazi!!
   
 5. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,719
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  wewe chizicomputer acha usanii wewe unaweza ku-unlock iphone au ipad kwa maelekezo ya simu ww? nasema hivyo kwa kuwa mi ni mtaalam wa hivyo vitu na najua usumbufu wake hasa iphone 4 zilizolokiwa na kampuni ya verizon wireless ya marekani unaweza ukaijailbreak kwa maelekezo ya simu tu wewe?
   
 6. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,719
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hizo cm ni tofauti na cm nyingine ukikosea kidogo tu maelekezo imekula kwako mazima sio kama vile unavyounlock modem hivyo vitu vina software nne za kuunlock na moja ina ukubwa wa 420mb inayofuatia ina ukubwa wa 78mb sasa hizo software unaweza ukaziweka JF kweli?
   
 7. f

  fbmimi New Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hacha uongo wewe??????? wewe waambie ukweli kuwa kuna SIM CARD mahalumu sio software nne au mb kubwa
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Karibu Jf:welcome:
   
 9. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hujui mbinu za kibiashara, really ChiziComputer is your business name?
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu kama ujafanya utafiti una haki ya kuongea hadharani mambo ya card yamepitwa na wakati sasa hivi unaunlock direct k2 hewani kwaiyo rekebisha kauli yako ya kumwita mwenzako mwongo
   
Loading...