Kwa mtu yeyote mwenye proxies zenye resume capability naomba azitume humu. Proxies pekee zenye resume capability nilizokuwa nazitumia ni za Epic Tunnel, lakini naona zimekuwa blocked.
Nina video katika FLV format. Je, niweke katika format ipi ili ni-burn katika CD? Pia, software ipi nitaweza kuitumia kuipele video katika format husika? Ninatanguliza shukrani kwa mchango wa mawazo.
una simu zao za mezani hivi sasa ukiweka vocha ok ,ukiactivate bundle ok.
lakini ukicconect intenet.yaja sms ...check your modem configuration .je kuananini?
huko sasatel
Naombeni msaada wakuu kila ninapotaka kuaccess camera yangu kwenye blackberry inaniambia 'close other application'
sielewi ni application zipi?kwani wakati huo naamini kuwa sijafungua application...
Well, maybe a couple of bags of chips with your favorite diet drink.
Raspberry pi have brought forth this morning their flagship computer sized as a credit card (maybe a little fat though) that is...
Yaan hapa wilayani magu kuna mnara wa cm (voda),
lakin masuala ya Net Yanasumbua kweli, eti net inakamata upande wa kusini 2, wale wa upande wa kas' wakitaka kuaccess lazma waje kus, yaa ni ovyo...
Habari rafiki!
Baada ya kuinstal windows7 kwenye machine yangu kuna baathi ya drivers zinakosekana ambazo mimi sizifahamu kiasi kwamba baadhi ya magemu hayaplay pamoja na baathi ya application...
Jf naomba mnisaidie machine yangu gateway imeistal window 7 ultimute driver zote zinaonekana zimeingia hadi webcame lakini siioni shortcut ya webcame kwenye machine kama kuna mtalaamu anielekeze...
Ninaombeni msaada wenu wataalamu wa simu zamikononi. Ninataka kujifunza jinsi ya ku unlock simu, kuflash na kurepair software za simu kwa kutumia software na tools mbali mbali. Ninahitaji mtu...
Jamani natafuta wataalamu wanaouza SIM card za free internet. Mimi nakaa dar, naomba kama unajua mahali zinapouzwa nijulishe kwa PM nitakutafuta.
Au kama unajua jinsi ya ku-hack line iwe...
:washing:wadau ninaomba ushauri kuhusu web browser ninayotumia ni mozila Firefox,inanisumbua kutokana na ukifungua email inakataa kusain out hata facebook ni hivyo hivyo.
wakuu there is no doubt when it comes to mobile phones Nokia runs the market. sasa recently they have released this phone nd guess what? it has 41 megapixels. this is huuuuge,cant wait to see it in TZ