msaada please???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada please????

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by emike, Mar 10, 2012.

 1. e

  emike JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wajuzi wa it,browsers zote kwenye laptop yangu yaani mozilla,ie,opera na google chrome hazifungui kabisa websites muhimu kama google.com,youtube, gmail etc lakini inafungua nyingine kama google.co.tz, na nyinginezo tafadhali nijuzeni njia ya ku solve tatizo hilo.natanguliza shukurani zangu
   
 2. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usinambie unatumia tiGo!
   
 3. c

  cylu Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha hiyo. Angalia lipi kati ya haya linakuhusu
  1. Unaweza kuwa na spyware au malware scan computer kwa hili
  2. Je unatumia connection gani? Kama ni connection tu ya nyumbani hakikisha firewall yako haijablock hizo sites unazojaribu ku visit. Kama ni connection ambayo huna access na hili linaweza kuwa ngumu
  3. Network unayotumia inaweza kuwa inakataza watu kutembelea hizo sites
  4. Internet settings zako zinaweza kuwa zimefurugwa kwahiyo ziri-set back kwenye default

  Sijui mengine labda watu wachangie zaidi
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Nadhani DNS unayotumia haifanyi kazi andika 209.85.173.147 kwenye sehemu ya address kwenye browser yako.
   
 5. e

  emike JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  natumia airtel na voda vipi tigo wamezuia hizo websites au????
   
 6. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  ukifungua mozilla nenda kwenye tools, click clear recent history
  ikifunguka chagua everything halafu click Clear Now
  ukimaliza jaribu tena hizo sites.
  halafu tupe feedback kwa kila ushauri uliopewa
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,790
  Likes Received: 7,115
  Trophy Points: 280
  haha cheki toolbars au kama unatumia vpn au proxies ambazo google wameziban mimi lilitokea hilo suala nkafuta vitu hivo apo juu now fresh
   
 8. e

  emike JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nimejaribu ushauri walionipa jamaa wengine hapo juu bila mafanikio, tafadhali nijuze njia ya kufuta hizo proxies na vpn ie. Naomba unipe instructions siyo maelezo, natanguliza shukrani
   
 9. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Angalia hosts file yaho ikoje C:\windows\system32\drivers\etc inawezekana kuna program nayo write some routines ili kublock port 80.
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,790
  Likes Received: 7,115
  Trophy Points: 280
  ok ngoja nkuulize swali ushawahi tumia trick za free internet za humu ndan? Au za site yoyote zilizotaka udownload software?
   
 11. e

  emike JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hapana sijawahi tumia
   
 12. e

  emike JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  tafadhani nijuze ni jinsi gani ya kuijua hiyo program na kwa sababu mimi siyo tech guy ningeshukuru kama msaada ungekuwa kwa njia ya instructions kama hivi ingia kwenye my computer bonya hardisc etc etc?????
   
 13. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  The simplest solution! Go to control panel and create a new account. Log off and login to this new account. Copy all your files(my documents and desktop) to this new account. Go to the control panel and delete the old account. You are good to go!
   
 14. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Fungua browser yako halafu copy and paste C:\windows\system32\drivers\etc\hosts kwenye address bar. Select all halafu copy and paste hapa JF ili tuone hosts file yako ikoje na kuona kama kuna tatizo lolote.
   
 15. e

  emike JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  chamoto ahsante baada ya kufungua host file niliomba msaada online na nili download software moja ya ms inayoitwa windows fix ambayo ili repair host file shukrani
   
Loading...