Jinsi ya kuchakachua fifa12 ya PC ili uicheze..(kwa wale wapenda vya bure) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kuchakachua fifa12 ya PC ili uicheze..(kwa wale wapenda vya bure)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Skillseeker, Mar 14, 2012.

 1. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Salamu nyingi kwenu wana JF,
  Hii post ni kwa wale wenzangu wanaopenda kucheza game za mpira wa miguu..sasa hivi Fifa12 ndo kiboko yao na upatikanaji wake umekuwa mgumu sana..Mimi nipo hapa kukusaidia wewe ambaye huna hizo sh.50000 au 60000 za kununua hiii game lakini unatamani kuicheza kwenye PC yako.. sasa kwanza kabisa download origin(software inayokuwezesha wewe kucheza fifa) na ufungue account yako. Baada ya hapo download hii game HAPA.
  Ukishadownload extract file lililoandikwa " rld-fi12 " kwenye separate folder alafu fungua hilo folder uliloweka extracted fiels na uclick setup ili kuinstall fifa12. Ukimaliza kuinstall fungua crack folder(ni moja kati ya files ulizoextract) alafu copy the file in it(fifa12.exe) to the game directory(program files/fifa12/game)... sasa unataka kucheza??? Make sure unainternet connection na umesign in kwenye origin ndiyo uclick icon ya fifa12 in your desktop ili uweze kuicheza...

  Natumai utafuata hizi steps vizuri na utaenjoy kucheza fifa12..
  Shukrani,
   
 2. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Asante mkuuu
   
 3. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wewe hupendi vya bure? ungetafuta crack hiyo kama hupendi??? mbona wasema watu on ur topic title wakati ur on the same group?
   
 4. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hahahaaaa....kaka nimetoa post kusaidia jamani..hiko kiswahili hapo juu potezea...it's obviously that namimi napenda coz ndo nimepost bana
   
Loading...