Nikiwa kwenye wireless PC yangu inakua very slow( ina- stuck) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikiwa kwenye wireless PC yangu inakua very slow( ina- stuck)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KWETU PAZURI, Mar 15, 2012.

 1. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wadau, me tatizo langu ni kuwa kila napotumia internet ya wireless pc yangu inakua nzito sana, i mean inakua kama ina-stuck, yan hata ukifungua program zingine zinakua zinafnguka kwa muda
  mrefu sana, emb nisaidieni,tatizo ni nn na jinsi ya kutatua
   
Loading...