754271890 Ongea na huyo mtu. Bei zao ziko juu kiasi, kama unataka cheap chinese sema nikupe namba pia. Guest Yako iko wapi kaka? Hzo locks ni safi sana kwa usalama wa Mteja na hata wako pia, inarahsisha sana Mngmnt, pia unaweza ukalink na taa zako ili mtu akitoka taa zizime automatically, kama Guest yako ni high profile pia unaweza kuweka CCTV, pia Video On Demand, itakutofautisha sana na wengine kwenye soko. Biashara ya Guest sasa hivi inahitaji ubunifu zaidi, kama unaweza kuweka interteinment mbalimbali chumbani zitakusaidia kuongeza value ya vyumba vyako.