Ushindani wa kupelekana mahakamani sasa wahamai kwenye tovuti

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Sasa Imekuwa awada kusikia kuna kesi ya IPad ddidi ya samsung au kesi ya Motorola dhidi ya Apple. Hivi sasa makapuni ya simu ushidani wao sio tu kwenye kuuza bidhaa za madukani bali pia kuna ushindani wa patent mahakamani.

Wimbi hili la kesi limehamia na kwenye mitandao ambapo sasa Yahoo wanawawashtaki facebook. Soa habri hii hapa
Everyone Has The Features Yahoo's Suing Facebook For: Here They Are | TechCrunch au hapa Yahoo and facebook could be next apple and samsung

Ikimbukwe mchezo huu wa kesi hizi za petent za ajabu ajabu ulianzishwa na Apple.

Sehemu ya muktasaro wa moja ya hari hapo juu unasema hivi

........Yahoo went after Facebook yesterday seeking licensing fees for use of its technology patents. More specifically, Yahoo claims that Facebook's privacy controls, messaging service, advertisements and news feed infringe on its technology and it is now demanding licensing fees. There were about 10 to 20 of Yahoo's patents involved.
 
Sijasho lao kwanini wasilalamikie walipwe na mwingine anafaidi
 
Sijasho lao kwanini wasilalamikie walipwe na mwingine anafaidi

Kuna scenariokweli ni jasho lakini kuna patent nyingine kama za Apple ni kichekesho wanataa kuua ushindani kabisa. Patent kama ya minimaistc Design. au patent kama ya USer Intefece ni kituko.

Kuwa wa kwaza kusajii patent haina maana ni jasho lako. mfano User inteface kama ni jasho basi ni jasho la a Microsoft apple waliimbia kuisajili. na most User inteface ya Apple haina ilifuta mtiririko wa Windows. So as ubuntu... Sasa micorost wangeweka patent ya UI ingeuwaje....

minimalistic design kuna motoroala ndo waikuwa wa kwanza kujana minimalistic designed mobile lakini hawakusajili Patent so ni jasho la motoroola na sio apple waiokuwa wajanja kusajili.......

But wewe nakuelewa ni shabiki mkubwa wa apple . Any way ngoja tuone watafikishana wapi
 
Back
Top Bottom