WA MAMNDENII
JF-Expert Member
- Jun 5, 2010
- 344
- 57
wandugu nilikuwa natumia window vista nikaiona kama inanizingua vile, sasa kuna best wangu mmoja kanibadilishia na kuniwekea window 7 ya kimagirini ci unajua tena kibongobongo tunavyopenda felelee ,sasa kila ninapofungua doc ya microsoft word or excel inaniletea kijibox kinachosomeka "microsoft is not activated" sasa waungwana nisaidieni namna ya kuchakachua product key