FIFA 2012 AND PES 2012 WHICH ONE IS THE BEST..(gamers only)

Fifa ni kali kuanzia Physical Appearance za Wachezaji,Imekaa ki Uhalisia zaidi,viwanja safi,kanzu,vidari,danadana n.k vipo kwa sana ila kwangu binafsi Siipendi kutokana na Kuwepo kwa Uwezekano wa Kufunga si mkubwa kama PES/Winning Eleven. Ubaya PES ni kwamba hawajakaa ki Technique zaidi katika Wachezaji bali wao ni NGUVU,na unaweza kushinda Magoli mengi tu. Pes hawana mvuto kwa Fifa
 
pes balaa! fifa faulo nyingi sana, ukimkaba tu mtu faulo! inaondoa ladha ya mchezo kila saa faulo tu!
 
aisee hebu tutafakari vizuri...unavyocheza game kama hizi za mpira na magari na nyinginezo unataka jinsi unavyocheza uwe unaweza na ujione noma au unataka mazingira yafanane na uhalisia?....

Mimi kwa upande wangu fifa2012 ni balaa....ipo kiuhalisia zaidi..mdau mmoja ameongelea swala la ufungaji na faulo.. Mtazamo wake ni mzuri tu lakini I'm sure akiipatia vizuri jinsi ya kukaba na kufunga hata kaa aachie kuicheza..

Narudia tena FIFA2012 ni noma...
 
fifa ni kwere, Pro evolution bado uki linganisha na fifa mkuu.
 
Pes 2012 inapendwa sana na watanzania lakini uko majuu wanapendelea fifa zaidi lakini ata mimi ninasupport pes 2012 ftw
 
Pes12 ni kukimbiZana tuu....same type of goals...bt fifa12 is the best
 
Dah nami nielekezeni mnako download hayo magame mana mimi kila website ninayo fungua nakuta demos tu au yanauzwa so nisaidieni jinsi ya kudownload full version for free
 
huwezi kulinganisha kifo na usingizi pes ni kali zaidi above all ni kwamba in freedom of play tofauti na fifa na gemu nyingine za mpira
 
So far nimecheza pes2012, ngoja nijitahidi kutafuta fifa 2012 nione itakuwaje, ingawa kuna vitu vinaniboa kwenye pes ikiwepo kukaba, na kufunga faulo.
 
If you are truly in love with Football, and if Video / PC gaming is your nature. and above all if you do need to feel like ur in a real world when you console games. regardless if its a football game, or battle. EA sports their are MASTERS on this industries. jamaa wanatengeneza game za uhalisia. so huwezi kupoteza hata sekunde moja kuwaza kipi bora kati ya FIFA version yoyote ile na PES yoyote ile... FIFA rocks in any other languages...... kila game yao uhalisia unaongezeka... lakini kama ww unajifunza kupotezea mda kwenye games utaboreka. lakini kama ni "GEEK" u know what to pick.


FIFA IS THE BEST . i ahve been playing all version of FIFA.. and they all ROCKS... in so many ways... PES bado sanaaaaa, kuanzia graphics, uhalisia na kila kitu
 
u hav nt bn specific but fifa ni zuri only kwenye PC.Realistic looking players n ol that. Ila kwenye Ps consoles fifa kinda sux,graphics are off(especially Ps2) its a bit slow also. So on Pc its Fifa on PS ts Pes 4 me
 
Back
Top Bottom