Wakuu msaada wenu plz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu msaada wenu plz

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MwanzoMwisho, Mar 15, 2012.

 1. M

  MwanzoMwisho Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wakuu nashindwa browse youtube kabsaa nadhani ISP kaibania naombeni msaada wenu jinsi ya kutatua hili tatizo ili niweze browse vitu mbalimbali katika hii website.
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  kama isp kablock youtube au website yoyote tumia njia hizi

  1) tumia secure connection yaani mfano adress ni http://youtube.com change iwe https://youtube.com unaongeza s kwenye http

  2) tumia virtual private network (vpn) hizi ni tunneling zinazoficha browsing yako na download zako, zinakufanya unakuwa anonymous katika net. Unaweza kwenda link hii kupata vpn

  pdproxy vpn service


  3) ni kutumia proxy kubrowse unaweza kwenye proxy site like hidemyass.com au hideme.mobi kupata huduma ya proxy

  Hope utafanikiwa
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Badili provider.
   
 4. M

  MwanzoMwisho Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Thanx a lot mkuu! Chief M
   
Loading...