habari zenu wakuu,
mimi ninakitu kimekuwa kikiniumiza kichwa kidogo. naelewa kuwa ukimtumia mtu flash sms anapata msg na asipo click save basi haitaingia kwenye inbox yake kabisa. Sasa basi...
Mimi ninatumia king'amuzi cha Zuku lakini ningependa niweze kuongeza FTA channel katika package ya Zuku....Je inawezekana. Kama inawezekana basi tusaidiane japo niongeze channel za bure za dini...
Nina akaunti yangu ya "yahoo" email, lakini huwa inanitatiza pale ninapojaribu kuifunga kuona sms inagoma kabisa ilhali email na password niliyoingiza ni za uhakika.
Nfanyeje wakuu coz nataka...
This is a 250GB ps3 with a wireless dual-shock3 controller, It comes with 5 to 10 games of your choice on the list provided below for a price of $400 only.
Need For Speed Hot Pursuit...
Jamani nipeni ushauri..
Kuna ninayemdai fedha kama laki hivi.. Akaniambia anatanguliza hiyo simu na fedha tutapigiana hesabu anailpe taratibu..
NB. Ni simu original...!
Wakuu Wanachama wenzangu wahusika habari za Asubuhi. Nina tatizo kwenye IPAD2 ninataka ku download Real Player na Adobe flasher player nimejaribu inakataa Ku download je kuna mtu mjuzi wa hiyo...
Nimeinstall sqlmap kwenye ubuntu kutumia command yani "sudo apt-get install sqlmap".....inaonyesha imeinstall lakini siioni kwenye installed programs ili niweze kuitumia...mwenye uzoefu nayo...
Habari nahitaji kujifunza hii adobe cs3 ila sina zana zozote za kunisaidia ili niweze kuimasta vizuri.
Msaada ninaohitaji kama una link itakayo nisaidia naomba uniwekee hapa ili nijifunze vizuri...
simu yangu aina ya nokia 6300 express music ilidondoka kwenye maji kitambo ikazima then sikuipeleka kwa fundi nina kama miezi 3 hivi.
Leo kuna fundi nimempelekea Kariakoo kaniambia haiwezi kupona...
Ughhhh! If your PC has ever been infected - or worse, if it's infected right now - you're probably groaning. Yes it's a pain, but the good news is: you can remove viruses yourself, for free...
Nimefungu account ya Skype kupitia Computer nikitaka ku sign in kupitia simu inagoma, simu yangu Nokia C5.Ila kwa kutumia Pc inakubali.Na vp ambaye ashaitumia credit unawekaje? Msaada jamani.
The term best PC is a very common term that many people use to think about when they decide to purchase a new PC for them, however there is no such a term practically because the best PC depends...
The Registry is a centralized data structure that Windows programs, including the Windows itself, use to store configuration data.
Every software installs specific registry files into the registry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.