Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hi wataalam, Simu yangu ni LG X330T.. Saivi nikiconnect usb cable yake haidetect..yani,inaonesha charging lakini haileti ile option ya file manager ama com port..halafu kwene laptop inatoa...
0 Reactions
1 Replies
829 Views
jamani mimi laptop yangu haionyeshi marafiki zangu walio online lakini mwazoni nilikuwa nawaona je waungwana tatizo ni nini
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba mwenye kujua ni kwa nini simu yangu ya nokia 5800 wakati mwingine hujizimana kujiwasha pale ninapoamua kusikiliza muziki. Can this be a virus?
0 Reactions
4 Replies
986 Views
Wakuu Msaada kwa anaefahamu OVI NOkiA SUITE NITAIPATA WAPI NAOMBA ANIWEKEE LINK NI DOWNLOAD Coz kila niki google siipati napata vitu vingine tu!! Pleaz nahitaji LINK
0 Reactions
3 Replies
1K Views
How to make Vodafone K3571 or Tigo E153 modem to work in Ubuntu Hello readers! Alright, so today I will show you all on how to make the Vodacom k3571/Tigo e-153 or any Huawei and Tigo Tanzania...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama una email database kubwa (kuanzia 2000 email addresses )naomba tuwasilane kwa PM. Asante sana.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwenye webst ambayo intapata free software ya utorent aniwekee niweze kuidowload
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari za kwenu wanaJF, ninaomba msaada wa jinsi ya kuweza kumtrack mtu kwenye facebook. Ninachomaanisha ni kwamba jinsi ya kuweza kupata information kama wapi,lini na muda gani huyo mtu aliingia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Girlfriend wangu alijikuta mnyonge baada ya kukuta mafile yake yote ya Final year project yaliyokuwa kwenye flash hayapo.Alimshika shati rafiki yake akidhani pengine aliyafuta...... Baada ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu naomba kama kuna wataalam wa fiber hapa,nahitaji quotation for testing,spicing,and laying fiber cable per miter,kuna mtu ana idea hapa??
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Device driver installation and maintenance has always been an headache for many Windows users all the while, be it in Windows 95 or Windows Vista. Especially while migrating from Vista or XP to...
1 Reactions
1 Replies
737 Views
Nilikuwa natizama space ya HDD nikaona nibora nifanye clean disc,baada ya hapo nikaona nikopress disk kupata enough space!!nikafanya hivyo baadae ikaniambia imemaliza!nikarudi katika system kama...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Nna desktop hp compaq dc5750 microtower 1gbRAM, 2.20GHz dual core na 350HDD. Ina tatizo moja huwa wakati naitumia inaleta bluescreen ina maandishi kwamba 'A problem has been detected and windows...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wana JFMie natumia computer ya Dell Optiplex GX620 (desktop), tatizo ni kwamba inanisumbua hasa kwenye upande wa networks.Nikiweka moderm ya vodacom ikisha itambua tu inajizima then...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habali wadau,nilikua nikipitia habari za mtandaoni na ghafla website ya dailynews ikaniambia i have to wait too many request.......shoooosh kwa website serious kama hiyo sikutegemea kitu kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndugu. just last week i purchased this voda zte modem. at everytime am installn it and try to open it by clickn that desktop icon, the stupid thng does nt open. i called the col centre like 9...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu ni software ipi ya bure inayoweza kunisaidia kuconvert video zenye format au extension ya H264 kwenda kwenye playable formats kama mp4 n.k.
0 Reactions
0 Replies
945 Views
WAkuu HII internet ya zantel inapatikana kwa speed ya unlimited. though shared speed lakini most of the time kuna zile tips and tricks zitazokufanya u get most out of the box. kwa mfano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua kama inawezekana kublok facebook msgs zisiingie kwenye yahoo mail, coz inakuwa kero zinavyoingia mara mbili mbili(kwenye yahoo mail na kwenye facebook).
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani nisaidie napata shida sikuhizi siwezi ku-download wala ku-play kitu kwenye internet napata message ya ku-upgrade, nisaidie ya bure kama niliyokuwa nayo zamani ambayo sasa haifanyi kazi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom