Airtel Wezi Wakubwa!!!

Cestus

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
987
131
Wakuu leo nimeweka sh.3000 kwenye line yangu ya Airtel ili nijinafasi na bundle ya MB 400.. Cha ajabu nlipojiunga napata msg eti sina salio la kutosha..nkajaribu tena kwa mara kadhaa bdo hamna kitu..kucheki salio langu kuna 536!! Walishanikata hela yangu zamaan halaf hawajaniunga.mhuu si wiz wa wazwaz jaman!! CC haipatikan!!!!!
 
Mkuu ulipiga *154*44# na kuchagua bundle au ....halafu mbona kwa 2500 tu unapata zile mb400 kwa mwezi.....pole mkuu wapigie customer care wakusaidie
 
Nlijiunga kwa njia ya message mkuu..na ndo njia ambayo huwa natumia siku zote na huwa inakubali!!! CC napiga siwapati nakua disconnected!! Kuna namba yyte ya kuwapata hawa??
 
wewe ulisha unganishwa usitume sms mara ya pili ukikuta salio limepungua ujue ushalipia huduma kama ni simu zima na washa jaribu kufungua web itafunguka
 
Wakuu leo nimeweka sh.3000 kwenye line yangu ya Airtel ili nijinafasi na bundle ya MB 400.. Cha ajabu nlipojiunga napata msg eti sina salio la kutosha..nkajaribu tena kwa mara kadhaa bdo hamna kitu..kucheki salio langu kuna 536!! Walishanikata hela yangu zamaan halaf hawajaniunga.mhuu si wiz wa wazwaz jaman!! CC haipatikan!!!!!

Wewe unanitia mashaka maana 3000 - 2500 = 500 kama walikuunga ina maana ingebaki mia 500 so kubaki 536 ina maana wamekata 2464 na hakuna bundle ya style hio.

Cha muhimu kama ni pc angalia automatic updates na kama ni simu angalia kama ulikua kuna kitu unadownload ukaacha nusu
 
wewe ulisha unganishwa usitume sms mara ya pili ukikuta salio limepungua ujue ushalipia huduma kama ni simu zima na washa jaribu kufungua web itafunguka

Siyo kweli. Anachokisema mwanzisha mada kiliwahi kunitokea na mimi. Hatapata support yoyote.
 
Wewe unanitia mashaka maana 3000 - 2500 = 500 kama walikuunga ina maana ingebaki mia 500 so kubaki 536 ina maana wamekata 2464 na hakuna bundle ya style hio.

Cha muhimu kama ni pc angalia automatic updates na kama ni simu angalia kama ulikua kuna kitu unadownload ukaacha nusu

Hiyo 36 ilikuepo kabla cjaweka salio mkuu
na natumia simu kwa hyo hamna updates zzte
 
wewe ulisha unganishwa usitume sms mara ya pili ukikuta salio limepungua ujue ushalipia huduma kama ni simu zima na washa jaribu kufungua web itafunguka

Hawajaniunganisha mkuu sababu wanakata hela kawaida niki access net
 
Kaka hawa airtel ndo zao hapa nina kesi nao tunaendeshana tangu jumapil: issue ni hiv jumapil nilijiunga na bandle ya 400mb wakanpa na kwenye a/c nilikuwa na sh 1560. Cha ajabu najaribu ku google kdog napata msg et sna bandle. Kuanagalia nakuta kote balance ni zero. Nlwapigia kwa shdda mpaka nkawapata wakanjb wakasema watarudsha ela pamoja na mb 400.

Kwel j3 zilrudshwa. Lakn crerdt balance haikurud.nkarud cc wakahd kurudsha lakn kila sku wanasema wanashuhulikia hv nataka niwafuate personal pale morroco after easter. 1500 ni nying nataka nijue mwsho wake mkuu. Tuungane ktk hili.
 
aliyedhulumiwa serious kabisa em ani PM Namba yake nikaprove leo leo usiku...Haya Mambo ya kuitana wezi sio fair
 
Mkuu nadhani airtel wanatatizo, leo mimi nilikua nina salio la Tsh. 7,500/= Nikaomba kifurushi cha 2,500/= kwa ku-dial *154*44# cha ajabu mwishoni kabisa wakaniletea msg, sina salio la kutosha. Nikajaribu mara ya pili, the same message wakaniletea hatua ile ya mwisho ambayo wanakuambia unakaribia kujiunga na kifurushi ulichoomba. Baadae nilipoangalia salio nikakuta wamenifyeka Tsh. 5,000/=. Hii inamaanisha mara ya kwanza nilivyoomba walikata tsh. 2,500/=, then nilivyoomba tena mara ya pili wakakata tena 2,500/=. Ili kujua kulikoni, nikaomba salio la kifushi cha internet ili kujiridhisha kama hela ndio imeenda bila kupata nilichoomba, kweli wakanijibu sina kifurushi chochote cha internet.

Nimeku-PM. Feedback muhimu.
 
modem zao hazipatikani officen kwao na ukienda M.City unaambiwa njoo kesho au nenda Morrocco. Ukifika huko unaambiwa njoo kesho. kesho ukienda unaambiwa kesho. ukienda Kariakoo unazikuta bei kali zaidi ya mara 2 ya bei ya ofn. Ni ufisadi mtupu.
 
Tumieni Voda
 
Back
Top Bottom